Pre GE2025 Sasa Rais umeanza kuwa serious. Endelea hivyohivyo kuwanyoosha mpaka wajue kuwa Urais hauna ubia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakifanya hayo uliyoorodhesha itakuwa poa na kwa manufaa kwa wananchi. Nje ya hapoa mambo yao tuwaachie wenyewe hayana maslahi kwetu bali kwa maslahi ya siasa zao tu za chama
 
Rubbish
 
Hapa kwa kweli nampongeza mama asicheke na watu wanaoleta masihara. Yaani Rais anatumbua mtu nyie mnampongeza. Vipi kuhusu Jerry Slaa ambaye alikuwa ni the best kwenye wizara mbona yeye asipongezwe? Naona sasa hii tumbua tumbua itaboresha utendaji wa watumishi maana wa Tz bila kutishwa hawafanyi kazi vizuri.
 
Huyu bi kiziwi hata angejibiringisha kwenye tope siwezi kurudisha imani hata siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…