Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
KMC kafikaje hapo?Habari wakuu
Shirikisho La mpira wa miguu baran afrika limethibitisha rasmi Tanzania itapeleka timu 4 katika mashindano ya vilabu Barani afrika shiriksho limesema mwisho wa kufanya usajir kwa vilabu hivyo n June 30 mwaka huu
Hivyo kwa Tanzania timu zitakazoshiriki klabu bingwa ni
Simba
Yanga
Timu zitakazoshiriki kombe LA shirikisho ni
Azam
Kmc
Rai yangu timu zikawakilishe vema wafanye usajili mzuri
sio rahisi mkuu, sasa hivi wanasajili balaa! hata wewe kuwa mwangalifu, wakikukuta umezubaa barabarani utashangaa yule IT wao na mwakalebela wako na wewe kwenye desk ukiSINYA kontraa nao!Maskini Yanga...... Kama naiona vile ikitolewa na Nkana Fc tu.
Soma hiyoKMC kafikaje hapo?
Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
KMC kafikaje hapo?
Tff walete barua ya kimombo Hapa kabla hawajaitafisiri
Hawa jamaa hawaeleweki
Nimeattach document toka tff hapo juu mkuuBaadhi ya vilabu hapo ni kwa mujibu wa CAF, TFF Au Wewe?
Samahani sikuona kabla next time ambatanisha kwenye thread au comment ya Kwanza haraka kuondoa mkanganyiko.Nimeattach document toka tff hapo juu mkuu
Samahani sikuona kabla next time ambatanisha kwenye thread au comment ya Kwanza haraka kuondoa mkanganyiko.
Asante