Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

1117661
 
Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Kwa mujibu wa kanuni KMC ameshika nafasi ya nne(4) kwenye ligi yetu yaani TPL
 
Tumia akili kidogo. Yanga inao mchango wake katika hizo point 12.
Sio favour, ni stahilI yake .
Hujui hata ni point ngapi unaleta tu ubishi hapa...tanzania ina point 18 ambapo kati ya hizo point 18 point 15 zimeletwa na simba na point 3 zililetwa na yanga....nchi inayotufuatia ni ivory cost yenye point 15....hii inamaanisha point 15 tu za simba iliyozileta pekeyake zilitosha kabisa kuifanya tanzania iwe na sifa ya kuingiza timu nne
 
Hongera sana Yanga kwa kutengeneza msingi mlipoingia hatua ya makundi mara kadhaa na hongera nyingi kwa Simba kwa kuingia robo fainali na hivyo kuihakikishia nchi yetu ushiriki wa timu nne badala ya zile mbili za awali. Fanyeni usajili mzuri ili tuweze kuingia nusu fainali ikibidi msimu ujao.
 
Back
Top Bottom