Sio kweli! Kama si points za Yanga, Yanga wasingepata nafasi ya kushiriki!Imechangia point 3 but hazina maana...ingekuwa simba kachangia point let say 12 na yanga kachangia point 3 ambayo jumla zake zingefanya Tanzania iwe na point 15 tungesema hizo point 3 za yanga zinamaana...hata ingetokea simba kachangia point 14.5 na yanga akachangia point 0.5 tungesema point 0.5 za yanga zina umuhimu sababu ndo zimeiongezea nchi hadi kufikisha point 15 so zimetuwezesha kumshinda anayetufuatia ivory cost ambae naye anapoint 15....hizo point 3 za yanga hazina umuhimu wowote sababu hata ukizitoa haziathiri chochote bado nchi itakuwa nafasi ya 12 na itakuwa na sifa ya kuingiza timu 4....simba usiseme imechangia pakubwa sema point iliyozikusanya simba peke yake tu zilikuwa zinatosha kuipandisha nchi mpaka nafasi ya 12...unaposema imechangia pakubwa unamaanisha bila mchango wa yanga tusingekuwa na nafasi ya kuingiza timu 4 kitu ambacho si kweli....mchango wa yanga uwepo or usiwepo point tu alizobeba simba zilikuwa zinatuwezesha kuingiza timu nne