Point 3 ushiriki nini?.. mwaka jana Yanga alishiriki?.. (hapana) kwa nini?Sio kweli! Kama si points za Yanga, Yanga wasingepata nafasi ya kushiriki!
Uko sawa mkuu.. Ila binafsi ngoja iwe hivyo ili timu zipambane kuisaka BIG 4.Lipuli FC ya Iringa wao wangestahili pia kuwemo michuano ya Afrika na siyo KMC ya Kinondoni Dar es Salaam. Kwenu wadau maoni yenu :
1 Jun 2019
Azam FC wamefanikiwa kuchukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports baada ya kuichapa Lipuli FC bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi. Goli pekee la Azam kwenye mchezo huo limefungwa na mshambuliaji kutoka Zambia Obrey Chirwa dakika ya 65 baada ya kuwazidi maarifa mabeki wa Lipuli na kuachia shuti lililomshinda kipa wa Lipuli Mohamed Yusuph. Baada ya mchezo huo wa fainali, bingwa Azam wamekabidhiwa kombe lao la ubingwa huku tuzo nyingine zikienda kwa wachezaji waliofanya vizuri katika maeneo tofauti matatu.
Kwani miaka mingine huwa tunacheza kwa sababu ya Simba kuingiza points 15?! Hoja ni kwamba, ingawaje Simba ndie amechangia points nyingi, lakini points hizo zisingekuwa na msaada kwa Yanga endapo wenyewe tusingechangia kwenye misimu miwili iliyopit!Bila point 3 za Yanga , Simba angecheza MASHINDANO YA CAF sababu ni bingwa wa ligi.. Je bila point 15 za Simba , Yanga ingecheza Mashindano ya CAF?
We unachekesha sasa! Hivi timu kutoshiriki kwenye baadhi ya misimu ni jambo jipya kwako? Mbona nyie watu mnaongea as if soka mmeijulia ukubwani?!Point 3 ushiriki nini?.. mwaka jana Yanga alishiriki?.. (hapana) kwa nini?
Acha uchawi.
Amechanga na nani?.. Yeye ndio kasaidiwa na mnyama,wasikupe shida, ao ni mbumbumbu fc wanaamini Yanga hajachangia chochote kwenye iyo nafasi.
Chukueni point 3 mwendenazo kama CAF itawapokea.Tuna points zetu tatu pale lasivyo Kenya ndo wangepata hiyo fursa, mmewabeba kmc siyo Yanga
Kwa hiyo Ajibu anataka kwenda Namungo?.. Akilimali amewashinda.Mikia msikieni Mzee wenu Kilomoni. Hati ya majengo ya Simba hatoi kwa Mhindi wenu.
Naye Mhindi bila kumkabidhi mali za club hatoi pesa ya usajili.
Nawaona wachezaji wa Simba wakienda Namungo.
ESPERANCE DE TUNISNikikuwa ktk Saumu Kali.. hebu nijuzeni Nani katwaa ubingwa wa club za Africa mwaka Huu?
Mkuu naona unarukaruka unakimbia hoja...wewe mwenyewe umesema miaka do not determine weight ya points??mimi nikakuonesha kuwa miaka ina determine weight ya points...so unachofanya ni kurukaruka kwa sababu miaka ina determine weight ya points na kwa mfano timu za nchi mbili tofauti zikifanikiwa kuingia let say hatua ya robo fainali katika miaka tofauti ile timu ya nchi iliyoingia recent year ndo inakuwa na points nyingi....Huna cha kunielimisha, sana sana unataka kuleta ligi isiyo na faida! NImekuwekea source yako wewe mwenyewe inayosema:-
- Wameshasema wazi hapo kwamba, association zaidi ya moja wakifungana points, zote hizo zinahesabiwa kuwa kwenye the same rank! Na hapo chini wametoa mifano ya miaka ambapo associations zilifungana points na kwahiyo wakalazimika kugawana nafasi!!
Sasa badala ya kusema unielimishe, weka hapa link inayosema association mbili zikifungana, ile ya points nyingi kwenye current year ndie anakuwa juu! WEKA HAPA HIYO LINK manake ulichoandika hapo juu ni yale yale tu!!!
Na hata ukiangalia hiyo ranking uliyoweka wewe mwenyewe, #20 kuna Rwanda na Zimbwabwe (zimefungana)! Kwanini basi Zimbabwe isiwe juu ya Rwanda kwavile msimu huu wanayo point 1 na Rwanda hawana!!!
The problem unachanganya mambo! Hajalishi ngapi wanazidisha na nini, conclusion inatokana na jibu la mwisho! Na hakuna popote waliposema kama nchi zinafungana, wanaangalia nchi ambayo ina points kwa msimu wa karibuni kabisa; HAKUNA!! KInachofanyika hapo kwa lugha nyepesi ni kama kutafuta wastani! Hata shuleni wakitafuta wastani halafu wanafunzi wawili wakafungana maksi wala hawasemi kwavile huyu kafaulu, mathalani hesabu basi awe juu ya mwenzake ambae hesabu hakufanya vizuri!
Duuh ahsssssnnnntee kumbe waarabu tunabeba vikombe eeh?ESPERANCE DE TUNIS
Huwa mnacheza mkiwa bingwa wa ligi... Je leo nyie ni mabingwa wa ligi?.. Point zenu 3 ziliwapeleka wapi msimu jana?Kwani miaka mingine huwa tunacheza kwa sababu ya Simba kuingiza points 15?! Hoja ni kwamba, ingawaje Simba ndie amechangia points nyingi, lakini points hizo zisingekuwa na msaada kwa Yanga endapo wenyewe tusingechangia kwenye misimu miwili iliyopit!
Nyie ndio hamjui 15 na 3 na kasaidia mwingine... mna uchawi wa kuzaliwa nao nyie.We unachekesha sasa! Hivi timu kutoshiriki kwenye baadhi ya misimu ni jambo jipya kwako? Mbona nyie watu mnaongea as if soka mmeijulia ukubwani?!
Ndo tupo nazo hapa JKNI airport tunawapelekeaChukueni point 3 mwendenazo kama CAF itawapokea.
Mkuu tuachana na hayo.. Timu zetu zijipangae vzr , timu 4 zote naamini lazima hata 1 Itutoe kimasomaso tenaNdo tupo nazo hapa JKNI airport tunawapelekea
Ila mnyama ni nyoko msimu mmoko pointi 15 ndala miaka mitano pointi 3 alafu anajiita wakimataifa shame!!Imechangia point 3 but hazina maana...ingekuwa simba kachangia point let say 12 na yanga kachangia point 3 ambayo jumla zake zingefanya Tanzania iwe na point 15 tungesema hizo point 3 za yanga zinamaana...hata ingetokea simba kachangia point 14.5 na yanga akachangia point 0.5 tungesema point 0.5 za yanga zina umuhimu sababu ndo zimeiongezea nchi hadi kufikisha point 15 so zimetuwezesha kumshinda anayetufuatia ivory cost ambae naye anapoint 15....hizo point 3 za yanga hazina umuhimu wowote sababu hata ukizitoa haziathiri chochote bado nchi itakuwa nafasi ya 12 na itakuwa na sifa ya kuingiza timu 4....simba usiseme imechangia pakubwa sema point iliyozikusanya simba peke yake tu zilikuwa zinatosha kuipandisha nchi mpaka nafasi ya 12...unaposema imechangia pakubwa unamaanisha bila mchango wa yanga tusingekuwa na nafasi ya kuingiza timu 4 kitu ambacho si kweli....mchango wa yanga uwepo or usiwepo point tu alizobeba simba zilikuwa zinatuwezesha kuingiza timu nne
Nahisi tumebebwa na CAF [emoji23] [emoji23]hahaha sijui na kule CAF tumenunua nafasi tukawapatia yanga
Hahahaa. Haina mbaya Swahiba.
Nimeshazitowa awali Mtani. Mnastahili japo ndio msipasuke vichwa kwa sifa kwani hata sisi mwaka 1988 tuliwasaidia mpaka hamjashuka Daraja.