BinamuNikikuwa ktk Saumu Kali.. hebu nijuzeni Nani katwaa ubingwa wa club za Africa mwaka Huu?
Pole kwa Swaum kali Binamu alichukua Esperance ila kwa mauza uza.Nikikuwa ktk Saumu Kali.. hebu nijuzeni Nani katwaa ubingwa wa club za Africa mwaka Huu?
Nilikuwa naisubiria tahnia ya Eidd el-ftri kwa shauku, Minna al-Fayzina!! Karibu tule mbuzi wa Eiddi ...
Hivo binamu ubingwa unabaki North tu...!?Pole kwa Swaum kali Binamu alichukua Esperance ila kwa mauza uza.
Safi sana timu zilizopata nafasi zijiweke imara, siyo zilegee legee zitolewe halafu zisubiri huruma ya Mnyama Simba ππ
Shadeeya pongezi kwa Simba tafadhali maana amekufanya ujione wa thamani na wewe ππ
Simba nguvu moja
Amiin In shaa Allah Binamu.Nilikuwa naisubiria tahnia ya Eidd el-ftri kwa shauku, Minna al-Fayzina!! Karibu tule mbuzi wa Eiddi ...
Allah akupe towafiqi..
Soma hapo utapata kigezo kwa KMCKigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Yaani kila mwaka huko huko likihama pembe basi ni kwa msimu mmoja tu binamu.Hivo binamu ubingwa unabaki North tu...!?
Timu nne (4)..?!!? Azam atazidhamini wakivaa jezi za ice cream rambaramba!!Eeeeeee. Mtani kama nakuona vile.
Haina shida Mtani tunawapa mbona kwani timu nne si haba kwa Taifa moja.
shikirisho wanaenda mshindi wa tatu kwenye ligi kuu na bingwa wa kombe la FAKigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
Sijakuelewa Binamu?Timu nne (4)..?!!? Azam atazidhamini wakivaa jezi za ice cream rambaramba!!
Hahah huu ndo uungwana!Shukrani tena Mtani wakati na sie tuna Points zetu. πππ
Ila tuache masikhara yapasa tuwashukuru kwa kuongeza Points nyingi kwa wakati mmoja kwani vilabu vinne kwa nchi moja si haba Mtani.
Vipi timu nne ziingie bila ubingwa wa CAF?Sijakuelewa Binamu?
Minal Faidhina Best. Naona mambo yamegeuka hatimaye na sie mwakani twawa wa Kimataifa.Best kabisa ninjema
Eid Mubarak
Minal Faidhina Mtani. Japo hizi habari zimekuja muda mnono sana yaani.Hahah huu ndo uungwana!
Eid mubarack
Hahahaa. Binamu si ndio huu uzi umeelezea sasa.Vipi timu nne ziingie bila ubingwa wa CAF?