Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

Nikikuwa ktk Saumu Kali.. hebu nijuzeni Nani katwaa ubingwa wa club za Africa mwaka Huu?
Binamu
1745bcd15f00a9aa1ca1842af438ecbf.jpg
 
Shadeeya shukrani hatupewi
Haha Yanga wameingia kupitia Viti Maalumu

Shadeeya
Safi sana timu zilizopata nafasi zijiweke imara, siyo zilegee legee zitolewe halafu zisubiri huruma ya Mnyama Simba 😀😀
Shadeeya pongezi kwa Simba tafadhali maana amekufanya ujione wa thamani na wewe 😜😜
Simba nguvu moja

Kweli Shadeeya na wenzake tunawadai shukrani zetu.

Mambo ya tenda wema uende zako hakuna hapa.


6a7b2e5204bf597ba83f91f370c0886c.jpg


Muje tusherehekee Sikukuu Watani.
 
Safi sana timu zilizopata nafasi zijiweke imara, siyo zilegee legee zitolewe halafu zisubiri huruma ya Mnyama Simba 😀😀
Shadeeya pongezi kwa Simba tafadhali maana amekufanya ujione wa thamani na wewe 😜😜
Simba nguvu moja

Eeeeeee. Mtani kama nakuona vile.

Haina shida Mtani tunawapa mbona kwani timu nne si haba kwa Taifa moja.
 
Nilikuwa naisubiria tahnia ya Eidd el-ftri kwa shauku, Minna al-Fayzina!! Karibu tule mbuzi wa Eiddi ...
Allah akupe towafiqi..
Amiin In shaa Allah Binamu.

Ahsante Mchana mchana tu ntatia timu huko binamu. 😜
 
Kigezo gani kimetumika kumpa KMC hiyo nafasi Wakati hajacheza fainali yoyote?
Wewe frog wa jangwani Arabi Nanjewa bila Simba mngepata hii nafasi?
Respect Simba kuanzia leo Sithole
Viti maalumu fc
shikirisho wanaenda mshindi wa tatu kwenye ligi kuu na bingwa wa kombe la FA

Azam ameshikiria tiketi zote mbili 3rd place pamoja na bingwa wa Fa

so kwa hapo inabidi mtu wa nne kwenye ligi aende kwa mgongo wa mtu wa 3rd


mimi nimehisi hivyo
 
Shukrani tena Mtani wakati na sie tuna Points zetu. 😀😀😀

Ila tuache masikhara yapasa tuwashukuru kwa kuongeza Points nyingi kwa wakati mmoja kwani vilabu vinne kwa nchi moja si haba Mtani.
Hahah huu ndo uungwana!

Eid mubarack
 
Back
Top Bottom