Sasa Rasmi: CAF yathibitisha Tanzania kupeleka timu 4 mashindano ya vilabu barani Africa 2019/2020

shikirisho wanaenda mshindi wa tatu kwenye ligi kuu na bingwa wa kombe la FA
Azam ameshikiria tiketi zote mbili 3rd place pamoja na bingwa wa Fa
so kwa hapo inabidi mtu wa nne kwenye ligi aende kwa mgongo wa mtu wa 3rd
mimi nimehisi hivyo
Unakumbuka Kipindi Yanga alivyochukua VPL na FA mshiriki wa FA alitokea wapi?

TFF ni wapuuzi kuna watu hawastahili kuwepo pale.
 
Nimeshazitowa awali Mtani. Mnastahili japo ndio msipasuke vichwa kwa sifa kwani hata sisi mwaka 1988 tuliwasaidia mpaka hamjashuka Daraja.

Hivyo hizi mambo zipo tu Mtani. πŸ˜€πŸ˜€

Sawa Mtani, sasa mtafanya usajili wa maana. Make nimesikia eti sasa hivi Yanga wanasajili kila wanayemwona.
 
Sawa Mtani, sasa mtafanya usajili wa maana. Make nimesikia eti sasa hivi Yanga wanasajili kila wanayemwona.
Hahahaa. Haya ni maneno tu ya Mtaani Mtani hatusajili yeyote bana tunasajili yule ambaye ni hitaji la Papaa Zahera.
 
Kinachowauma Mikia FC ni wao kukaa miaka mitano bila ya kucheza mashindano ya CAF. . Alafu Yanga wamekaa nje msimu mmoja tu.. INAWAUMA SANA..
 
Hahahaa. Haya ni maneno tu ya Mtaani Mtani hatusajili yeyote bana tunasajili yule ambaye ni hitaji la Papaa Zahera.

Afadhali umenitoa wasiwasi, maana kulikuwa na ujumbe unasambaa kutupa tahadhari kwamba Yanga wanasajili kila wanayemwona, hivyo tuwe makini.
 
Hiyo nafasi yanga wameipata kwa jasho lao wala siyo simba kama msemavyo. Kigezo kimuu kilichotumika ni kuangalia mafanikio ya timu za tz kwa miaka mitano ilopita + robo ya Simba,sasa kwa miaka mitatu hadi minne nyuma simba wamefanya nini kimataifa kama siyo yanga kuingia Mara kadhaa kwenye makundi kombe la shirikisho? Yanga wasingeingia kwenye makundi kwa miaka ilopita isingepata hii nafasi!
 
Adi papaaaa zahera kashukuru nyie ni nani mpinge kuwa simba inastahili pongezi
 
Big up. Huko ndiyo kuongea kwa takwimu.
Sawa Mtani, sasa mtafanya usajili wa maana. Make nimesikia eti sasa hivi Yanga wanasajili kila wanayemwona.
Miaka yako mitatu uliyoshiriki umekusanya point 3 tu, Simba kwa mwaka mmoja kakusanya point 15, bado huoni umuhimu wake?
 
Miaka yako mitatu uliyoshiriki umekusanya point 3 tu, Simba kwa mwaka mmoja kakusanya point 15, bado huoni umuhimu wake?
Hujanielewa sijasema simba hawana umuhimu ktk hili, Bali nimesema hizo pointi tatu kama yanga asingezikusanya asingepata nafasi hii,kwa hyo ni jasho lake pia na si vinginevyo.
 
Hujanielewa sijasema simba hawana umuhimu ktk hili, Bali nimesema hizo pointi tatu kama yanga asingezikusanya asingepata nafasi hii,kwa hyo ni jasho lake pia na si vinginevyo.
Simba angetolewa makundi, hizo 3 za Yanga ambazo ni jasho lake zilikuwa hazina msaada kwake
 
Sijaona popote Yanga fc waki ishukuru timu ya Simba kwa kuongeza pointi nyingi iliyoiwezesha kwa Mara ya kwanza katika historia ya mpira Tanzania kushiriki katika michuano ya Mabingwa, msimu mwaka 2019-2020.
Nawapongeza timu ya KMC kwa kuishukuru timu ya Simba sc.
Wahenga walisema,

" Kumtambua mchawi ni rahisi sana "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…