Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka Kipindi Yanga alivyochukua VPL na FA mshiriki wa FA alitokea wapi?shikirisho wanaenda mshindi wa tatu kwenye ligi kuu na bingwa wa kombe la FA
Azam ameshikiria tiketi zote mbili 3rd place pamoja na bingwa wa Fa
so kwa hapo inabidi mtu wa nne kwenye ligi aende kwa mgongo wa mtu wa 3rd
mimi nimehisi hivyo
Nimeisha iona barua.Soma hapo utapata kigezo kwa KMC View attachment 1118080
Nimeshazitowa awali Mtani. Mnastahili japo ndio msipasuke vichwa kwa sifa kwani hata sisi mwaka 1988 tuliwasaidia mpaka hamjashuka Daraja.
Hivyo hizi mambo zipo tu Mtani. 😀😀
Hahahaa. Haya ni maneno tu ya Mtaani Mtani hatusajili yeyote bana tunasajili yule ambaye ni hitaji la Papaa Zahera.Sawa Mtani, sasa mtafanya usajili wa maana. Make nimesikia eti sasa hivi Yanga wanasajili kila wanayemwona.
Nitakuja ujue, nitumie contact pm kabisa usije ukapotea hapa jukwaaniNa kwako pia Mtani. Ukaribie hapa Kwa Morombo mida ya jioni.
Yajayo yanafurahisha Mtani mujiandae kisaikilojia tu sasa. 😀😀
Kwa hiyo Ajibu anataka kwenda Namungo?.. Akilimali amewashinda.
SIMBA TAIFA KUBWA
Hahaaa. Karibu sana Mtani.Nitakuja ujue, nitumie contact pm kabisa usije ukapotea hapa jukwaani
wamebebwa na mbeleko la chumaWamatopeni walie tena
Hahahaa. Haya ni maneno tu ya Mtaani Mtani hatusajili yeyote bana tunasajili yule ambaye ni hitaji la Papaa Zahera.
Big up. Huko ndiyo kuongea kwa takwimu.
Sawa Mtani, sasa mtafanya usajili wa maana. Make nimesikia eti sasa hivi Yanga wanasajili kila wanayemwona.
Miaka yako mitatu uliyoshiriki umekusanya point 3 tu, Simba kwa mwaka mmoja kakusanya point 15, bado huoni umuhimu wake?Hiyo nafasi yanga wameipata kwa jasho lao wala siyo simba kama msemavyo. Kigezo kimuu kilichotumika ni kuangalia mafanikio ya timu za tz kwa miaka mitano ilopita + robo ya Simba,sasa kwa miaka mitatu hadi minne nyuma simba wamefanya nini kimataifa kama siyo yanga kuingia Mara kadhaa kwenye makundi kombe la shirikisho? Yanga wasingeingia kwenye makundi kwa miaka ilopita isingepata hii nafasi!
Hujanielewa sijasema simba hawana umuhimu ktk hili, Bali nimesema hizo pointi tatu kama yanga asingezikusanya asingepata nafasi hii,kwa hyo ni jasho lake pia na si vinginevyo.Miaka yako mitatu uliyoshiriki umekusanya point 3 tu, Simba kwa mwaka mmoja kakusanya point 15, bado huoni umuhimu wake?
HahahahaChukueni point 3 mwendenazo kama CAF itawapokea.
Simba angetolewa makundi, hizo 3 za Yanga ambazo ni jasho lake zilikuwa hazina msaada kwakeHujanielewa sijasema simba hawana umuhimu ktk hili, Bali nimesema hizo pointi tatu kama yanga asingezikusanya asingepata nafasi hii,kwa hyo ni jasho lake pia na si vinginevyo.
Na vipi simba angeingia robo fainali halafu yanga wasiwe na hizo pointi zao tatu?Simba angetolewa makundi, hizo 3 za Yanga ambazo ni jasho lake zilikuwa hazina msaada kwake