Ila Israel na Marekani wanateswa sana kisaikolojia na hawa jamaa ambao hata auawe nani wao, jamaa hawasalimua amri na wapo tu kwenye mapambano, dah aise 🤣IMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.
Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!
Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi watatujulisha wenyewe!!!!!
Hayo ni maneno ya kujifariji tu lakini cha moto wanakipata!!Ila Israel na Marekani wanateswa sana kisaikolojia na hawa jamaa ambao hata auawe nani wao, jamaa hawasalimua amri na wapo tu kwenye mapambano, dah aise 🤣
Aiishi mpaka iishe saiv hatuskii tena shambulizi la kushtukiza kutoka kwa hamasiIMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.
Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!
Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi watatujulisha wenyewe!!!!!
mim siwezi kufarijika na nae uawa wala anateseka kisaikolojia usiku na mchana akisaka binadamu wenzake ila awaue, hiyo haimake sense kwa mtu makini kama mm.,Hayo ni maneno ya kujifariji tu lakini cha moto wanakipata!!
Never forget or forgive. Israel is righteously hunting down the criminals one by one and crushing the terrorist organisation to the dust of history.
Never forget or forgive. Israel is righteously hunting down the criminals one by one and crushing the terrorist organisation to the dust of history.mim siwezi kufarijika na nae uawa wala anateseka kisaikolojia usiku na mchana akisaka binadamu wenzake ila awaue, hiyo haimake sense kwa mtu makini kama mm.,
huo moto wa Israel au Marekani uko wapi gentleman hali ya kua wameshindwa kuuzima strength ya hao jamaa wasioyumba tangu na tangu?
hiyo hunting one by one ilianza lini na itaisha lini sasa kwa mfano na kuwamaliza?🐒
Kobazi wamenuna.IMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.
Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!
Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi watatujulisha wenyewe!!!!!
Kama zoezi hilo haliwezi kwisha ni wazi Israel na washirika wake wamewashindwa kabisa hao jamaa ,Never forget or forgive. Israel is righteously hunting down the criminals one by one and crushing the terrorist organisation to the dust of history.
Na hili ni zoezi endelevu usifikiri litaisha kama unavyofikiria wewe!!!
Kwa sababu wewe ni Mfuga Midevu na Majini huwezi kuuona huo moto utakuwa tu unashuhudia magaidi wakiteketea mmoja baada ya mwingine!!!
Endelea kujifariji tu zoezi la kuwaua magaidi ni endelevu halina mwisho!!!Kama zoezi hilo haliwezi kwisha ni wazi Israel na washirika wake wamewashindwa kabisa hao jamaa ,
Kama waislamu wanapigana wao kwa wao kuna shida gani kwa Israel?na hiyo ikimaanisha pia, Israel na washirika wake hawana uwezo wa hata kuwalinda washirika wao walio toa ardhi na anga zao kufanikisha mipango yao iliyoshindwa dhidi ya hao jamaa 🐒
mim sina haja ya kuteseka na chochote gentleman,Endelea kujifariji tu zoezi la kuwaua magaidi ni endelevu halina mwisho!!!
Kama waislamu wanapigana wao kwa wao kuna shida gani kwa Israel?
Contract ya kuwalinda waarabu wakipigwa unajua masharti yake? Wewe endelea tu kuteseka wakati magaidi wakiuwawa kwa ugaidi wao!!
Israel inajua sana namna ya kushughulika na magaidi ni KUWAUWA tu hakuna njia nyingine wewe endelea kujiliza-liza tu kifo ni halali kwa magaidi!!mim sina haja ya kuteseka na chochote gentleman,
nadahani anaeteseka zaidi ni yule anaeshindwa kujua namna ya kumalizana na adui yake asietabirika
Wewe ndiyo unasema kujitesa lakini kuuwawa kwa magaidi no vyema na haki kabisa!!!kuendelea kutafuta namna ya kuua wengine ni kuendelea kujitesa wenyewe pia kisaikoloji
acha uongo gentleman,Israel inajua sana namna ya kushughulika na magaidi ni KUWAUWA tu hakuna njia nyingine wewe endelea kujiliza-liza tu kifo ni halali kwa magaidi!!
Wewe ndiyo unasema kujitesa lakini kuuwawa kwa magaidi no vyema na haki kabisa!!!
Israel inajua zaidi yako wewe unayejiliza-liza mtandaoni!!acha uongo gentleman,
Israel haijui kitu kuhusu kudeal na hao jamaa, na ingelikua inajua, nadhani ingekua imeshawamaliza na kumalizana nao mazima,
mimi sina haja ya kujua ikiwa ni vema na haki kuua magaidi ama laa,
changamoto ni kwamba hao jamaa wasiotabirika, Israel na washirika wao haijui na sidhani kama itajua namna ya kuwamaliza, Nadhani hicho ndicho kina watesa na kuwaumiza zaidi Israel saikolojikali
hiyo ninakubali gentleman kwamba Israel inajua kuliko mimi, ila ukweli ni kwamba Israel haijuai kabisa cha kufanya dhidi ya kuingamiza hamas na washirika wake.Isr
Israel inajua zaidi yako wewe unayejiliza-liza mtandaoni!!
Israel wako vitani toka miaka 3,000 iliyopita na hakuna vita waliyoshindwa na kipindi kile hawakuwa na Jeshi!!!
Sasa hivi wana IDF magaidi wataendelea kupata cha mtema kinu hiyo Saikolojia unaijua wewe!!! Magaidi wataendelea kuangamizwa nomatterwhat
Israel hawajaanza kupigana vita leo wao wako vitani toka miaka 3,000 iliyopita kipindi cha Mfalme Saul naye alimpa kijiti DMfalme Daud ambaye alimuua Goliath enzi hizo anatumia Kombeo!!hiyo ninakubali gentleman kwamba Israel inajua kuliko mimi, ila ukweli ni kwamba Israel haijuai kabisa cha kufanya dhidi ya kuingamiza hamas na washirika wake.
miaka 3,000 vitani?
kama iliwahi kushinda vita, ni vita ya wapi hiyo ilishinda gentleman?
Haisaidii kitu.Kobazi wamenuna.
Huwa wanajuaje walipo viongozi wa HAMAS?Mbona walishindwa kuwapata matekaIMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.
Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!
Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi watatujulisha wenyewe!!!!!