Sasa Rasmi Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad kaangamizwa!!

Auawe tu huyo Gaidi pamoja na Hamas wengine kama hawa, dunia irudi kuwa salama.
IMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.

Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!

Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi watatujulisha wenyewe!!!!!

Huwa wanajuaje walipo viongozi wa HAMAS?
Kwa teknolojia waliyonayo Israel huwezi kujificha wasikupate maana vifaa karibu vyote vya mawasiliano kuna kifaa chao, hivyo kukupata ni suala la muda tu!!!

Mbona walishindwa kuwapata mateka
Nani alikudanganya walishindwa kuwapata? Usalama wao ndiyo ulikuwa kipaumbele wasingeweza kuwaokoa kwenye mazingira ambayo yangesababisha hatari kwa uhai wao!!
 
IMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.

Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!

Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi watatujulisha wenyewe!!!!!
Sa wewe baki uwe wa mwisho kufa tuone kama hauta omba kufa
 
Back
Top Bottom