Sasa Rasmi Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad kaangamizwa!!

Auawe tu huyo Gaidi pamoja na Hamas wengine kama hawa, dunia irudi kuwa salama.
 
Huwa wanajuaje walipo viongozi wa HAMAS?
Kwa teknolojia waliyonayo Israel huwezi kujificha wasikupate maana vifaa karibu vyote vya mawasiliano kuna kifaa chao, hivyo kukupata ni suala la muda tu!!!


Mbona walishindwa kuwapata mateka
Nani alikudanganya walishindwa kuwapata? Usalama wao ndiyo ulikuwa kipaumbele wasingeweza kuwaokoa kwenye mazingira ambayo yangesababisha hatari kwa uhai wao!!
 
Sa wewe baki uwe wa mwisho kufa tuone kama hauta omba kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…