johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hawangepata vitambulisho,ajira na huduma zozote za kiserikali hata kuwania nyadhifa za uongozi maana walikua wanaonekana Kama watanzania Ila Sasa hivi Wana haki sawa na wakenya wengine.Kenya achaneni kutumia kabila Kama ni "official identity" ya raia wenu, huko ndiko kuendekeza ukabila, hivyo vitu ni "social identity".
Kwanini wasiombe uraia Kama wanavyoomba huku Tanzania bila ya kutambua kabila la mtu?, Walipaswa waombe Kama raia wa nchi zingine.Hawangepata vitambulisho,ajira na huduma zozote za kiserikali hata kuwania nyadhifa za uongozi maana walikua wanaonekana Kama watanzania Ila Sasa hivi Wana haki sawa na wakenya wengine.
Kuomba uraia Ni tofauti na kutambulika Kama mwenyeji, kwenye kuomba uraia yapo Mambo mengi hata ukapewa uraia huwezi ukafanya lakini ukatambuliwa Kama kabila Kuna faida yake zaidi ya mhamiaji,pili watu zaidi ya laki moja kwa mfano hamuwezi kuomba uraia mkapewa uraia anapewa mtu mmoja mmoja Ila sio kwa halaiki ya watu,.Kwanini wasiombe uraia Kama wanavyoomba huku Tanzania bila ya kutambua kabila la mtu?, Walipaswa waombe Kama raia wa nchi zingine.
Mtu akitoka Botswana akija hapo Kenya akiomba uraia atakataliwa kwababu Hana kabila, au kwasababu kabila lake bado halijatambuliwa rasmi hapo Kenya?.
Kwanini serikali ya Kenya inapenda kujua kabila la raia wake?, Inawasaidia nini katika kuongoza nchi yenu?.
Hata Tanzania serikali inajua kabila la kila mtu usijitie hamnazo , kwani wazawa wa Moshi Ni kabila gani? Wazawa wa morogoro Ni kabila gani, wazawa wa mtwara Ni kabila gani ? Mbona mnajifanya zuzu kwa Mambo ya hazarani? Leo hii ukatajwa tu kwa jina tayari unajulikana unatoka kabila lipi ,kwa mfano ukiniambia unaitwa kimaro najua wewe Ni mtu wa Moshi ,ukisema unaitwa mwakasitu najua unatoka mbeya ukisema unaitwa mkude najua anatoka uzaramoni ukisikia mtu anaitwa marwa unajua huko Ni ukuriani , mbona Leo unajifanya serikali ya Tanzania haijui watu kwa makabila yao ilihali hakuna mnyiramba anaejiita majina wa wasukuma au mnyaturu akajiita majina ya wanyamwezi kutoka huko tabora ,tuwe wakweli ndugu yangu maana hata serikali zote duniani zinaendeshwa na watu kutoka makabila ,Leo hii unajua speaker was bunge la muungano wa Tanzania Ni mnyakyusa, waziri mkuu majaliwa Kuna uwezekano Ni mngindo kutoka Lindi ,makamu wa rais mpango Ni mtu wa kigoma na watu wa kigoma wanajulikana kwa hivyo usilete ngonjera ndugu yangu,kila mtanzania anajulikana kwa kabila lake ,kwa mfano mtu hapa kenya akiniambia anatoka county flani Kuna uwezekano nijue kabila lake bila hata kutaja pengine Kuna mchanganyiko wa makabila lakini kwa kawaida kila mkoa una asili ya watu wa kabila flani,mfano ukisema unatoka nyanza nitajua wewe mkisii ,mjaluo au mkuria hao ndio wanapatikana nyanza lakini pia kwa lafudhi yako nitajua kabila lako hata usiposema, ukisema unatoka mkoa wa magharibi vilevile nitajua wewe Ni mluhya na ukisema unatoka mkoa wa Kati nitajua wewe Ni mkikuyu au mmeru na Tanzania pia Ni vilevile.Kwanini wasiombe uraia Kama wanavyoomba huku Tanzania bila ya kutambua kabila la mtu?, Walipaswa waombe Kama raia wa nchi zingine.
Mtu akitoka Botswana akija hapo Kenya akiomba uraia atakataliwa kwababu Hana kabila, au kwasababu kabila lake bado halijatambuliwa rasmi hapo Kenya?.
Kwanini serikali ya Kenya inapenda kujua kabila la raia wake?, Inawasaidia nini katika kuongoza nchi yenu?.
Ninyi wakenya tatizo hamtaki kukubali pale mnapokosolewa. Tanzania tunayo makabila, tunajuana na kuyatumia Kama "Social identity pekee", kamwe serikali yetu haitambui jamii kwa kutumia kabila.Hata Tanzania serikali inajua kabila la kila mtu usijitie hamnazo , kwani wazawa wa Moshi Ni kabila gani? Wazawa wa morogoro Ni kabila gani, wazawa wa mtwara Ni kabila gani ? Mbona mnajifanya zuzu kwa Mambo ya hazarani? Leo hii ukatajwa tu kwa jina tayari unajulikana unatoka kabila lipi ,kwa mfano ukiniambia unaitwa kimaro najua wewe Ni mtu wa Moshi ,ukisema unaitwa mwakasitu najua unatoka mbeya ukisema unaitwa mkude najua anatoka uzaramoni ukisikia mtu anaitwa marwa unajua huko Ni ukuriani , mbona Leo unajifanya serikali ya Tanzania haijui watu kwa makabila yao ilihali hakuna mnyiramba anaejiita majina wa wasukuma au mnyaturu akajiita majina ya wanyamwezi kutoka huko tabora ,tuwe wakweli ndugu yangu maana hata serikali zote duniani zinaendeshwa na watu kutoka makabila ,Leo hii unajua speaker was bunge la muungano wa Tanzania Ni mnyakyusa, waziri mkuu majaliwa Kuna uwezekano Ni mngindo kutoka Lindi ,makamu wa rais mpango Ni mtu wa kigoma na watu wa kigoma wanajulikana kwa hivyo usilete ngonjera ndugu yangu,kila mtanzania anajulikana kwa kabila lake ,kwa mfano mtu hapa kenya akiniambia anatoka county flani Kuna uwezekano nijue kabila lake bila hata kutaja pengine Kuna mchanganyiko wa makabila lakini kwa kawaida kila mkoa una asili ya watu wa kabila flani,mfano ukisema unatoka nyanza nitajua wewe mkisii ,mjaluo au mkuria hao ndio wanapatikana nyanza lakini pia kwa lafudhi yako nitajua kabila lako hata usiposema, ukisema unatoka mkoa wa magharibi vilevile nitajua wewe Ni mluhya na ukisema unatoka mkoa wa Kati nitajua wewe Ni mkikuyu au mmeru na Tanzania pia Ni vilevile.
So Ili upate uraia wa kenya au utambulike ka raia kenya ni lazma uwe na kabila???Hawangepata vitambulisho,ajira na huduma zozote za kiserikali hata kuwania nyadhifa za uongozi maana walikua wanaonekana Kama watanzania Ila Sasa hivi Wana haki sawa na wakenya wengine.
Kuwa na kabila pekee haitoshi, Hilo kabila lazima liwe limesajiliwa na kutambulika rasmi na serikali ya Kenya, wewe Kama ni mhehe huna nafasi kwasababu sio miongoni mwa makabila ya Kenya[emoji23][emoji23]So Ili upate uraia wa kenya au utambulike ka raia kenya ni lazma uwe na kabila???
Kama huna kabila utakua umetokea wapi? Maana hakuna mtu ambae anazaliwa kutoka mbinguni na akarushwa hapa ,kila mtu dunia nzima ana kabila hata Yesu ana kabila lake, hatutaki watu watoke nchi nyengine wanakuja tu kuchukua vitambulisho eti Ni wa Kenya abadan, kwanza ukienda kuchukua kitambulisho lazima mzee wa Kijiji awe anakujua au hata kujua mzazi wako au babu yako maana lazima utumie jina la ukoo na Kama wewe umezaliwa na single mother pengine utatumia jina la mjomba au babu mzaa mama na Kama hata babako kwa mfano anatoka singida na mamako Ni wa tabora na unataka kupata kitambulisho ukiwa tabora hautafaulu itakulazimu lazima usafiri hadi singida kwa babako ukapate huko kwa hivyo lazima uwe na kabila na kabila lako liwe miongoni mwa makabila ya Kenya ambayo yanatambuliwa na serikali na wakenya wengine Kama si hivyo utakua mgeni na mgeni yapo Mambo ambayo hawezi akayafanya.So Ili upate uraia wa kenya au utambulike ka raia kenya ni lazma uwe na kabila???
Wapemba Sasa watapata huduma,hata wengine wajifunze angalau udereva maana Kama huna kitambulisho hata huwezi ukajifunza udereva ,na pia wasome maana sidhani Kama wamesoma pengine walio kuwa na akili wakaasi upemba na kujiita majina ya jirani wao Kama wadigo na wadhuruma ili wapate huduma za msingi na kumiliki ardhi.Kuwa na kabila pekee haitoshi, Hilo kabila lazima liwe limesajiliwa na kutambulika rasmi na serikali ya Kenya, wewe Kama ni mhehe huna nafasi kwasababu sio miongoni mwa makabila ya Kenya[emoji23][emoji23]
Kwa jinsi mnavyoendekeza" kabila" kamwe hamuwezi kuepuka "ukabila". Kabila Lina maana gani katika nchi ya watu wenye akili timamu zaidi ya kutambika?.Wapemba Sasa watapata huduma,hata wengine wajifunze angalau udereva maana Kama huna kitambulisho hata huwezi ukajifunza udereva ,na pia wasome maana sidhani Kama wamesoma pengine walio kuwa na akili wakaasi upemba na kujiita majina ya jirani wao Kama wadigo na wadhuruma ili wapate huduma za msingi na kumiliki ardhi.
Kwanini mnapenda kuiponda Kenya wakati huku mashuleni tunajifunza kuhusu makabila yetu na idadi ya makabila Tanzania?Kenya achaneni kutumia kabila Kama ni "official identity" ya raia wenu, huko ndiko kuendekeza ukabila, hivyo vitu ni "social identity".
Unajua mtu akiwa mjinga usibishane nae utakua unampa cheo,yeye anajifanya hatukuzi ukabila ilihali jina lake Ni la kabila lake hajachukua jina la kabila lengine akajiwekea.Kwanini mnapenda kuiponda Kenya wakati huku mashuleni tunajifunza kuhusu makabila yetu na idadi ya makabila Tanzania?