Sasa rasmi Wapemba ni miongoni mwa Makabila zaidi ya 40 nchini Kenya yanayotambuliwa

Sasa rasmi Wapemba ni miongoni mwa Makabila zaidi ya 40 nchini Kenya yanayotambuliwa

Unajua mtu akiwa mjinga usibishane nae utakua unampa cheo,yeye anajifanya hatukuzi ukabila ilihali jina lake Ni la kabila lake hajachukua jina la kabila lengine akajiwekea.
Sasa kati ya Mimi na Nyerere ambao tunazungumza lugha Moja, na wewe na hao wapumbavu wengine ambao mnazungumza tofauti na matokeo yake mnachinjana kwa sababu ya ukabila nani mjinga.

Lazima ifike wakati mkubaliane na ukweli kwamba hapo mko na tatizo, msione aibu kujifunza kwa aliyefanikiwa, punguzeni kiburi na ujuaji mwingi. Tunajua kinachowasumbua ni kuiga Tanzania, hamtaki kabisa kukubali kujifunza toka Tanzania.
 
Mwaka 2025 Juni 10 UNCHR
Kabila la Washona kutoka Zimbabwe sasa latambuliwa rasmi nchini Kenya

View: https://m.youtube.com/watch?v=xR-K85swZOo
Waliwasili nchi hiyo ya Afrika ya Mashariki miaka ya mwishoni ya 1950s wakitokea Rhodesia ambayo sasa ni Zimbabwe ili kueneza dini na wakalowea hadi sasa, ila walipitia changamoto nyingi ikiwemo kutotambuliwa kama raia hadi serikali ya Kenya ilipotambua rasmi watu hao kama kabila mojawapo la Kenya

TOKA MAKTABA MWAKA 2019:
Kusaidia Kutokomeza Ukosefu wa Uraia nchini Kenya. Jumuiya ya Washona iliwasili Kenya kutoka Zimbabwe kama wamishonari wa Kikristo katika miaka ya 1970. Licha ya kuishi nchini kwa zaidi ya miaka 50, bado hawajatambuliwa na serikali na hawajapewa uraia wa Kenya na hawawezi kufurahia huduma ambazo raia wanafurahia.

View: https://m.youtube.com/watch?v=VXnKFYeZm_E
 
Back
Top Bottom