joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sasa kati ya Mimi na Nyerere ambao tunazungumza lugha Moja, na wewe na hao wapumbavu wengine ambao mnazungumza tofauti na matokeo yake mnachinjana kwa sababu ya ukabila nani mjinga.Unajua mtu akiwa mjinga usibishane nae utakua unampa cheo,yeye anajifanya hatukuzi ukabila ilihali jina lake Ni la kabila lake hajachukua jina la kabila lengine akajiwekea.
Kwanini mnapenda kuiponda Kenya wakati huku mashuleni tunajifunza kuhusu makabila yetu na idadi ya makabila Tanzania?