Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Rejea kichwa cha habari. Kutokana na na uzi mpya wa Yanga kusheheni ramani za mitaa sijui na matawi huku kukiwa na picha za magofu na makaazi, imesemekana uongozi uko kwenye mazungumzo na wizara husika ili wawe mabalozi rasmi.
Hongera Yanga kwa jezi za ki utopolo tukutane taifa 13 na mjiandae kuhesabu magoli tu.
Yanga ni timu ya wananchi ila Simba ni timu ya wenye nchi.
Hongera Yanga kwa jezi za ki utopolo tukutane taifa 13 na mjiandae kuhesabu magoli tu.
Yanga ni timu ya wananchi ila Simba ni timu ya wenye nchi.