Sasa Rasmi: Yanga mabalozi wenza wa Sensa na Anwani za Makazi

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Rejea kichwa cha habari. Kutokana na na uzi mpya wa Yanga kusheheni ramani za mitaa sijui na matawi huku kukiwa na picha za magofu na makaazi, imesemekana uongozi uko kwenye mazungumzo na wizara husika ili wawe mabalozi rasmi.

Hongera Yanga kwa jezi za ki utopolo tukutane taifa 13 na mjiandae kuhesabu magoli tu.

Yanga ni timu ya wananchi ila Simba ni timu ya wenye nchi.
 
hahahahahahahaha
 
Mafi kichwani kwako hayajaisha tu

Allah
 
Rejea kichwa cha habari. Kutokana na na uzi mpya wa Yanga kusheheni ramani za mitaa sijui na matawi huku kukiwa na picha za magofu na makaazi, imesemekana uongozi uko kwenye mazungumzo na wizara husika ili wawe mabalozi rasmi.

Hongera Yanga kwa jezi za ki utopolo tukutane taifa 13 na mjiandae kuhesabu magoli tu.

Yanga ni timu ya wananchi ila Simba ni timu ya wenye nchi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
TAREHE 13 USIJE NA MATOKEO MFUKONI
 
Kwa mamlaka niliyopewa, nakutunukia nishani ya juu kabisa ya ujuha, sasa wewe ni mpumbavu kamili, hongera sana
 
Back
Top Bottom