Sasa sare itkuwaje

Haha ataisoma namba...Enzi za kikwete tulipewa..Kanga shati tsheti kofia,kikoi,dera...Angegombea awamu yatatu yule mzee tungepata hadi makufuli!
 
Wala wasihofu, Watanunuliwa na wagombea ubunge, tena kuanzia kwenye kampeni za ndani ya chama hadi uchaguzi mkuu.
 
Wenye uhitaji watachangishana watawanunulia.

Hili Wanyonge haliwahusu hata kidogo, wao role yao ni kupokea na kuvaa...zinatoka wapi is non of their business.
 
Wenye uhitaji watachangishana watawanunulia.

Hili Wanyonge haliwahusu hata kidogo, wao role yao ni kupokea na kuvaa...zinatoka wapi is non of their business.
Kweli Mkuu,kumbe sisi wanyonge halituhusu2
,kinachotakiwa tuvalishwe tu,mgombea atajua mwenyewe.
 
Mzee kapiga ulanzi wake fresh kabisa anasikiliza muzuka wewe unamchukulia point tatu za Umbea.
Prove Kama unachokisema ndo mzee anachokifikiria. (Kwa video clip)

Mbona siku hizi jF ndo mmeifanya Kama ndo sehemu zenu za kusogelea na kuondoa stress za Wapenzi wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tshirt ya ccm ilionekana na ndo iliyomsitiri sio anawaza nini ni sisi tuliomwona tunawaza haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…