LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!!;Haha ataisoma namba...Enzi za kikwete tulipewa..Kanga shati tsheti kofia,kikoi,dera...Angegombea awamu yatatu yule mzee tungepata hadi makufuli!
Kweli Mkuu,kumbe sisi wanyonge halituhusu2Wenye uhitaji watachangishana watawanunulia.
Hili Wanyonge haliwahusu hata kidogo, wao role yao ni kupokea na kuvaa...zinatoka wapi is non of their business.
tshirt ya ccm ilionekana na ndo iliyomsitiri sio anawaza nini ni sisi tuliomwona tunawaza hayaMzee kapiga ulanzi wake fresh kabisa anasikiliza muzuka wewe unamchukulia point tatu za Umbea.
Prove Kama unachokisema ndo mzee anachokifikiria. (Kwa video clip)
Mbona siku hizi jF ndo mmeifanya Kama ndo sehemu zenu za kusogelea na kuondoa stress za Wapenzi wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app