Sasa Soccer la Tanzania linachungulia kaburi

Sasa Soccer la Tanzania linachungulia kaburi

laurent Msembeyu

Senior Member
Joined
Oct 5, 2015
Posts
121
Reaction score
101
Mpira wetu, kabumbu, soccer la Tanzania linachungulia kaburi kwa sababu zifuatazo

1. Kwa muda mrefu tumeshauriwa kuendesha vilabu vyetu hasa vikubwa vya Simba na Yanga kibiashara tumekuwa wagumu kweli kukubali ushauri huo, bado vilabu vyetu vinategemea wafadhili kidogo AZAM wamejikongoja kuendesha soccer la kibiashara.

2. Utawala wa Magufuli umewabana hao wafadhili walipe kodi kumbe walikuwa wanakwepa kodi kwa kisingizio cha kufadhili timu

3 . Waziri aliyeteuliwa kusimamia michezo ni kimeo hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote

Changanya hizo sababu utaona kwamba matumaini ya Soccar letu kukua ni hakuna kabisa, tutaendelea kuangalia nchi za wenzetu
 
Back
Top Bottom