Sasa tatizo litakuwa kwa Omog

 
ile timu akipewa tu mayanja ita perfor balaa

yule Omog ameshaishindwa timu
 
Hili ndio soka la tz,,kule yanga anasema kocha si mzuri hajui mpira,,simba nao kocha hajui kupanga timu daaah shida sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uongozi hautakuja kuchukua kombe.Naona ni Kama mamluki tu Wa Yanga hawa wakina Manara.

Na Manara sasa anadharaulika Sana.Huwezi kumtetea Omog kwa kusema no kocha mzuri Na kuwaita mashabiki kuwa ni wasio jua chochote.Kama yeye anajua chochote ndo angefurahia ball possession tens ya 1st half? Waondoke Na Omog wao hao.
 
OMOG hafai jamani niliwahi kusema humu
 
Yamekuwa hayo? Shida yetu wabongo ushabiki wa kijima unatusumbua. Utakuta jitu linajitutumua, lazima leo tushinde nyingi, anasahau kuwa ktk soka kuna matokeo ya aina Tatu.
 
Yamekuwa hayo? Shida yetu wabongo ushabiki wa kijima unatusumbua. Utakuta jitu linajitutumua, lazima leo tushinde nyingi, anasahau kuwa ktk soka kuna matokeo ya aina Tatu.
Sio ushabiki Wa kijima.Angalia kwanza Uzi no Wa link pia kuanzia msimu uliopita aina ya uchezeshaji wake in ule ule.hakuna mabadiliko kutoka mchezo mmoja Na mwingine Na timu haina consistence yoyote.

Ajibu hakuweza kumtumia msimu uliopita Leo huko alipo tunamuana no mwiba Na sijui katika mazoezi take huko alikuwa anaawambia wamkabe Sana maana no hatari au vipi.

Leo tena Mohammed Ibrahim hats bench hakai msimu ukiisha akihama tunaanza kuhangaika. Ni kwamba hajui kutengeneza combination ya ushambuliaji inayoeleweka yeye Nazi take no 'marking' 'marking' 'marking' mwisho Wa Sikh tunawaona washambuliaji wrote hawafai kumbe mfumo Wa kila mmoja afanye marking.

Kwanini alifukuzwa Azam licha ya kuchukua kombe la VPL? Ukinijibu tutaendelea Na mjadala.



Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…