Msukuma_De_Great
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 1,185
- 972
BuswitaNafikiri unafahamu hiyo ripoti Ina majina gani.Tuambie wachezaji waliopendekezwa kusajiliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BuswitaNafikiri unafahamu hiyo ripoti Ina majina gani.Tuambie wachezaji waliopendekezwa kusajiliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie in mchezaji gani pale aliyesajiliwa Na Simba,club nyingine kubwa hatahitajika?
Hugo Omog no matatizo tu.Tuseme hakuna mshambuliaji aliyempendekeza kusajiliwa kisha akasajiliwa?Tuseme toka Omog aje Simba hakujawahi kuwa Na washambuliaji wazuri?Kwanini mfumo wake Wa uchezeshaji in mmoja tu,mfumo huo ukishindwa ndo basi Simba haishindi.
Kwani yule straika kiongozi wa Azam hadi msimu uliopita aliibania Azam kusaini mkataba mpya? Simba iliwaniana na nani kutaka kumsajili? Kwani yule mfungaji bora wa Ligi ya Ghana aliwekewa l na klabu yake alipotaka kwenda Simba? Au Simba iliipiku TP Mazembe katika kumwania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ndio soka la tz,,kule yanga anasema kocha si mzuri hajui mpira,,simba nao kocha hajui kupanga timu daaah shida sanaaMsimu uliopita, simba ilimwacha bingwa wa sasa yanga kwa alana 5,wakazipunguza hadi kubaki 2 kisha wakaongeza hadi kufikia alana 7 kama sijakosea. Bahati mbaya nyingine zilipunguzwa hadi kufikia 1 kisha simba ikaongeza tena hadi 5 zaidi ila zilipunguzwa hadi kufikia simba ikawa yenyewe ndo inadaiwa tena.
Hili tatizo in kwa misimu miwili sasa, ila tofauti ni kuwa msimu uliopita simba ilikuwa na kikosi cha wachezaji bora zaidi lakini simba ilishindwa hadi kufikia kung'ang'ania point za mezani hadi FIFA.
Tunaona haya yanaweza kujirudia kwa kikosi kilichosheheni wachezaji wazuri.
Ninachokiona ni kuwa kocha mkuu amezidiwa mbinu na hana uwezo zaidi wa kuipeleka simba katika mafanikio ya juu. Ni kocha ambaye kwa mbinu na maarifa anaweza kuzidiwa na kocha msaidizi ndg Mayanja. Apewe mechi chache sana za kujiridhisha ubora wake kwa idadi ya magoli kwa kila mchezo.
Mchezo wa leo sijajua kwanini hajamjaribu mghana. Mchezo wa kirafiki unafanya sub dk za mwisho kabisa, sijui alitaka kuona nini. Naona hafai kama sio yeye basi viongozi ndo hawafai kabisa.
Sent using jamii forums mobile app
Lakini we we unaonaje? Boko ulimuona katika mchezo Na Azam Na kwanini hakumfanyia subHili ndio soka la tz,,kule yanga anasema kocha si mzuri hajui mpira,,simba nao kocha hajui kupanga timu daaah shida sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yamekuwa hayo? Shida yetu wabongo ushabiki wa kijima unatusumbua. Utakuta jitu linajitutumua, lazima leo tushinde nyingi, anasahau kuwa ktk soka kuna matokeo ya aina Tatu.Huu uongozi hautakuja kuchukua kombe.Naona ni Kama mamluki tu Wa Yanga hawa wakina Manara.
Na Manara sasa anadharaulika Sana.Huwezi kumtetea Omog kwa kusema no kocha mzuri Na kuwaita mashabiki kuwa ni wasio jua chochote.Kama yeye anajua chochote ndo angefurahia ball possession tens ya 1st half? Waondoke Na Omog wao hao.
Sio ushabiki Wa kijima.Angalia kwanza Uzi no Wa link pia kuanzia msimu uliopita aina ya uchezeshaji wake in ule ule.hakuna mabadiliko kutoka mchezo mmoja Na mwingine Na timu haina consistence yoyote.Yamekuwa hayo? Shida yetu wabongo ushabiki wa kijima unatusumbua. Utakuta jitu linajitutumua, lazima leo tushinde nyingi, anasahau kuwa ktk soka kuna matokeo ya aina Tatu.