Usongetokwa = Usingetokwa,Yamekuingia, usongetokwa povu.
Sema roho inakuuma unapoona watu wanafanya maendeleo. Hukuanza leo kuwasakama kwenye nyuzi zao. Na hautowaweza.
Huna ulijuwalo.
Wewe Yamekuingia na umeshindwa kujibu swali jepesi kabisa. Unajuwa maana ya siku 365 za kazi? Kama hujuwi pitia uzi vizuri mleta mada kaelezea. Kajifunze kabla hujakurupuka.Hakuna ulichoandika hapa zaidi ya rubbish,
Huna ulijuwalo, umekuja kwa nia ya kuharibu uzi na hukuanza leo.Usongetokwa = Usingetokwa,
Anyway, nisije nikaandika zaidi hapa nikajikuta namuharibia uzi huyu rafiki yako kwa ajili ya kubishana na wewe.
Sijasema ni mradi mbaya, wanaotaka watajiunga
Umeshindwa kujibu hizi siku 365 zina affect vipi assumptions zote 4,Wewe Yamekuingia na umeshindwa kujibu swali jepesi kabisa. Unakuwa maana ya siku 365 za kazi? Kama hujuwi pitia uzi vizuri mleta mada kaelezea. Kajifunze kabla hujakurupuka.
Unataka kushindana na watu wanaowekeza kwa zaidi ya miaka arubaini na sasa wamejitolea kuwawachia vijana ujuzi ki aina yao? Unanshangaza!
Haya, usiku mwemaHuna ulijuwalo, umekuja kwa nia ya kuharibu uzi na hukuanza leo.
Huwezi.
Pasipo kuangalia kama ni kweli au utapeli, kiuhalisia hii kitu imekaa kienyeji sana.
Ni pata potea fulani, usalama wa mitaji ya wachangiaji una walakini mkubwa.
Kwa mfano, embu tujiulize swali hili.
Huo mradi hauwezi kuzaa hasara?
Na kama hasara inaweza kutokea, nani atawajibika na hasara hiyo?
Umeshindwa kujibu hizi siku 365 zina affect vipi assumptions zote 4,
By the way rafiki yako (sijui ni wewe mwenyewe) ndio kajichanganya,
Kuna mahali anasema Mwaka Mmoja mmoja wa siku za kazi,
Kuna watu wako kazini siku 365 zote za mwaka, hawana mapumziko wala sikukuu,
haya, usiku mwema,Mwaka mmoja wa siku za kazi una siku ngapi?
Uliona wapi kasema ni mwaka mmoja wa Kalenda? Sema ulikuwa huelewi tu mwaka mmoja wa siku za kazi maana yake nini.
Una mengi ya kujifinza kwenye hizi nyuzi zao. Usiingie kichwa kichwa huwezi.
Huyu Faiza ni miongoni mwa hao watoa mada deal lao hao huu ni utapeli mtupu wala msiwaamnin.. Alicho kisema huyo jamaa alieye fafanua kitaalamu ndio ukweli mtupu.. Lazima hisa ihusishwe vinginevyo itakuwa upatu wakienyeji.Wewe kweli punguani. Haiongelewi shares wewe unaleta maana ya hisa.
Kinachoongelewa na mleta mada ni faida na mgao wa faida kwenye huo mradi. Hakuna "company" iliyokuwa formed hapo. Wawekezaji kwenye mradi wa muda fulani. Full stop.
Unaweka vitu visivyokuwepo kwa kuwa "assumptions" zako ni simply bogus.
1) unaelewa maana ya siku 365 za kazi?
2) Sawa kabisa, unaelewa "excavator" inafanya kazi ya Shillingi ngapi kwa siku?
3) Yes. Una assume wrong kuwa figure hiyo haikuzingatia mengi. Ulitaka kuwe na mitaji miwili?
4) Ndiyo mdudu gani huyo?
Hizo aassumptions zako ni simply bogus. Hazina ukweli na kujidai tu kujuwa kumbe huna ulijuwalo.
Huyu Faiza ni miongoni mwa hao watoa mada deal lao hao huu ni utapeli mtupu wala msiwaamnin.. Alicho kisema huyo jamaa alieye fafanua kitaalamu ndio ukweli mtupu.. Lazima hisa ihusishwe vinginevyo itakuwa upatu wakienyeji.
Na alicho fafanua huyu jamaa kuhusu assumptions kitaalamu lazima ziwepo kulingana na data given..
Ogopeni wandugu huu ni utapeli huna paku lilia hela zako zikipotea
Hao mapunguani wenzako wanaokuja na uhasidi humu tuwawache? Ndiyo kusudio lenu mharibu uzi, roho zinawauma mnapoona watu wanaendelea. Hamtaweza.Yanini kutumia maneno ya kuudhi we mwanamke!!!!!,ushamuharibia mwenzio Uzi wake kwa uzwa zwa wako..Bila shaka we ni moja ya wale wastaafu aliosema jpm.
Mods hawa wengne huwa mnawaogopa? Haya maneno ningetoa mm ningepgwa ban. Sjuh hawa wengne wana haki ya kutukana humu?Hao mapunguani wenzako wanaokuja na uhasidi humu tuwawache? Ndiyo kusudio lenu mharibu uzi, roho zinawauma mnapoona watu wanaendelea. Hamtaweza.
Hayo maneno yana matusi?Mods hawa wengne huwa mnawaogopa? Haya maneno ningetoa mm ningepgwa ban. Sjuh hawa wengne wana haki ya kutukana humu?
Umekurupuka.Ponzi