Huyu Faiza ni miongoni mwa hao watoa mada deal lao hao huu ni utapeli mtupu wala msiwaamnin.. Alicho kisema huyo jamaa alieye fafanua kitaalamu ndio ukweli mtupu.. Lazima hisa ihusishwe vinginevyo itakuwa upatu wakienyeji.
Na alicho fafanua huyu jamaa kuhusu assumptions kitaalamu lazima ziwepo kulingana na data given..
Ogopeni wandugu huu ni utapeli huna paku lilia hela zako zikipotea
Wala hujakosea mimi nimekuwa mdau wao toka mradi wao wa kwanza na nimekuwa ndiyo wao hao.
Hakuna ufafanuzi wowote wa kitaalaamu uliotolewa. Huyo ha kuanza leo kuponda mada za Bi Zainab Tamim. Kama huelewi ni heri ungekaa kimya tu.
Assumption za huyo anaejiita
Shark ni za uongo na haelewi anachokiongea na wewe pia huelewi unachokiongea umekurupuka kama alivyokurupuka yeye.
Kwanini usiwe na pal kulikuwa, sheria na serikali havipo?
Nyie ndiyo wale wale tu tunawafahamu. Tuwacheni sisi tuwekeze. Unasema matapeli wakati karibia miaka miwili sasa wapo humu wanajitangaza na watu tunawafahamu toka 9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. alipokuwa Sinza mpaka wameamua Kibaha.
Wacheni hizo, Kama wewe "assumptions" za huyo punguani mwenzako umeziona za maana usiwekeze lakini usiwaite hawa watu matapeli.
Mimi ntawatetea mwanzo mwisho kwa kuwa nnawafahamu.
Bi
Zainab Tamim na Mzee Abdul cheapens kazi hawa mahasidi tuwachieni sisi tuta deal nao humu.