Sasa tumewaletea uwekezaji mpya unaolipa kihalali

Huwa ninashauri wawekezaji waingie mkataba wa kisheria na sisi kupitia wanasheria wao ili wawe na amani. Sisi mikataba yetu ni local.
Ahsante sana mkuu. Nimefurahishwa na busara zako na uvumilivu ktk kujibu hoja. Nina imani kufanya biashara nawewe sio kitu kigumu kutokana na jinsi unavyoweza kuwasiliana na watu. Mawasiliano mazuri ni muhimu sana ktk kufanikisha mradi wowote ule wenye kushirikisha wadau.
 
Market ni yetu wenyewe. Tuna eka za machimbo ya mchanga zisizopungua 15 chini ya usimamizi wetu. Kila eka ni average ya mwezi mmoja kuimaliza.
unaamanisha ninyi wenyewe ndiyo wanunuzi harafu upande mwingine ni wachimbaji wa mchanga huo?
 
Mkuu nilitaka kuwekeza hata kidogo tuu kama 2 millions, lakini kuna udini na ujinga mkubwa, sasa ninapita tu. Try to be neutral to get serious people.
Shutuma nzito sana hiyo. Kipi kilichokufanya uashirie hayo?
 
Shutuma nzito sana hiyo. Kipi kilichokufanya uashirie hayo?

FaizaFoxy, she seems to be in the heart of all your decision making and central to all your activities, your spokeswoman bigging up, promoting your cause. To some of us she our worst nightmare to be anywhere near her or our money to be controlled by this woman.
 
FaizaFoxy, she seems to be in heart of all your decision making and central to all your activities, your spokeswoman bigging up your cause. To some of us she our worst nightmare to be anywhere near her or our money to be controlled by this woman.

Huna wewe wacha porojo.
 
FaizaFoxy, she seems to be in heart of all your decision making and central to all your activities, your spokeswoman bigging up your cause. To some of us she our worst nightmare to be anywhere near her or our money to be controlled by this woman.

Imenibidi nicheke bila kupenda. Unisamehe sana kwa hilo.

Ninakuahidi sitazungumzia individuals.

Ninapenda tu uelewe, nia na dhamira na malengo ya haya uyaonayo ni kubadilisha taswira ya uwekezaji kwa kuielimisha jamii kuwa, yeyote anaweza kuwa muwekezaji na tusiogope neno uwekezaji.

Toka tulipoanzisha mpango huu wa uwekezaji tumeweza kujumuika na kuchanga pesa zilizotuwezesha kuwekeza kwenye miradi minne na huu wa excavator ni muendelezo wa tulipoanzia.

Tuliochangia miradi ni Watanzania wa aina zote, wazee, vijana, wakina mama, wakina baba, bila kujali itikadi zetu za kidini wala kisiasa. Wa ndani na nje ya Tanzania na kutoka mikoa tofauti wa imani tofauti.

Napenda ufahamu kuwa tuna whatsapp group zetu zinazotuunganisha wote tuliokubaliana kuunda SACCOS. Kwenye group hizo ni marufuku kuongelea dini na siasa.

Karibu sana ujiunge nasi kwa faida ya wengi.

Ahsante sana.
 
Wadau.

Tunapenda kuwafahamisha kupitia JF tuna ahadi (pledges) za million kumi na laki tano hadi sasa.
 
Huna wewe wacha porojo.

The things is your are full of shit whenever you offer your testimony you hurts these good people. You are toxic, silly, stupid and you lack any sort of respect, decency or good manners. I wanted to know if you are involved in decision making of this project.

If you were involved i would not invest, but since you are not part of the group decision making i might consider investing in this project. Wewe FaizaFoxy umespecialize kwenye matusi, dharau, kejeri, Kebehi, Udini, Pettiness, silliness na ujinga mkubwa sana unaonekana kila umapowaita watu wajinga.

Labda kwa sababu wamekosea neno moja, hujui kama sisi wengine hatukuenda shule, hata darasa la saba hatujamaliza, wengine hapa ni wazee wakati mwingine hawawezi kuandika vizuri, wengine ni vijana wadogo wanajifunza maisha, lugha na vitu vingine wewe unawaita wote wajinga pia bila kutumia lugha nzuri, halafu you think if funny.

Kila mtu anajua kwenye mambo ya kitoto, ya kijinga na matusi and distortion of truth wewe unaongoza watu wote hapa JF. Lakini kwa mambo ya muhimu, serious matter, nobody takes you serious. Stick to what you are good at:- matusi na ujinga wako leave serious business to others intelligent, dignified, decent, honorable, respectful, serious people like these two. People who have respect of others JF members.
 

Hamna tatizo Mr Abdul, I am glad i made you laugh. may be i can find another career being comedian.

I think what you have here is wonderful thing, it should be supported, it is through people like you and your your wife we can help our people. But when you want to grow and become big you need to put serious people testimonies. Don't just put FaizaFoxy she not known as full shilling in JF. Her testimony hurts you cause rather than advancing it.

Where are other investors testimonies? Is she the only one you could find taking into account of all other people who already have invest in your previous project?
 

Wewe Kingereza chenyewe cha manati. Uwekeze nini wewe wenye kuwekeza wanasema? Unanshangaza!

Nilichokukera ni kipi haswa nikielewe, maana naona unazidi kupayuka tu.
 
Wewe Kingereza chenyewe cha manati. Uwekeze nini wewe wenye kuwekeza wanasema? Unanshangaza!

Nilichokukera ni kipi haswa nikielewe, maana naona unazidi kupayuka tu.

Like i say before you are full of shits, you lack any decency, honour, integrity and respect to others. Why would anybody believe or trust your words? Never ever credible witness.
 
Mind smelter....Mzee Abdul+FaizaFox+Bi Zainab Tamim-One face in three dimensional


High risk of losing ,higher return but


DONT INVEST MONEY ,U NEVER AFFORD TO LOSE
 
Wadau, baada ya kupata ahadi, pledges, za kutosha kutuwezesha kuanza kazi (ingawa hatujatimiza lengo la kupata million 40 mpaka sasa). Tumeamua deadline ya kukusanya pesa zilizoahidiwa itakuwa tarehe 30 September 2017.

Baada ya kupata maombi mengi ya wadau wataopenda kuwekeza tumeshusha kiwango cha chini cha kuwekeza. Sasa unaweza kuwekeza kuanzia Shillingi 100,000 (laki moja).

Tunaanza kukusanya pesa kwa njia ya Tigo Pesa, Mpesa, Bank na Cash.

Kwa maelezo zaidi call or whatsapp 0625249605 Mzee Abdul.

Asanteni sana.
 

Mkuu nimependa sana hoja zako. Kwanza naomba kuweka maslahi yangu binafsi kwenye hii miradi, mimi ni muwekezaji na mnufaikaji wa mradi wa machimbo ya mchanga unaoendelea huko Misugusugu Kibaha. Kwakweli huyu Mzee Abdul na Mke wake ni wastaarabu na waungwana mno. Nimefika Kibaha licha ya kutuma pesa hata kabla ya kuonana nao.

Alichosema ni kweli kulikua na uchelewaji kutokana na mvua lakini alitoa habari na maendeleo kila mara kutujulisha tatizo liko wapi. Kama lugha za FaizaFoxy hazijakufurahisha kwa namna moja ama nyingine, naomba umuwie radhi kama binadam lakini usiwaelekezee tuhuma hawa wazee.

Mzee Abdul ni kweli kazi mnayofanya ni nzuri sana. Ningependa kuungana na Shark pamoja na Titicomb kujua hali ya biashara (soko la mchanga) likoje? Kuna miradi mikubwa ya ujenzi inaendelea kipindi hichi? Nauliza hivyo kwa sababu lengo sio mimi tu kama muwekezaji kufaidika, ni vizuri na nyie mnaoendesha na kusimamia miradi mfaidike. Kama shughuli za ujenzi zinadorora inamaana kutakua na shida kidogo.

Vinginevyo niwatakie kila la kheri na baraka kwenye shughuli zenu.

N.B vilevile mimi ni miongoni mwa wanachama wa Vitendo Saccoss inayoratibiwa na Mzee Abdul.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…