Kwa wale wenye uzoefu wa taaluma za "finance" na uwekezaji wataelewa kuhusu "capital pool" au mutual fund.
Huo ni uwekezaji wa kuchangia mtaji kwa faida ya wengi ambapo aidha unapunguza makali ya mtu mmoja au kikundi kuwekeza kwenye uwekezaji kipekee, kwa faida ya wengi.
Baada ya kufanya miradi minne (miwili imekamilika miwili inaendelea) sasa tunakuja na mradi wa tano wa kipekee.
Mradi huu unahitaji mtaji usiopungua million 40 na tunajumuisha wawekezaji wa kuanzia Shillingi 500,000 na kuendelea mpaka million 20. Hatutakusanya na kuchukua pesa zaidi million 40 zitakapokamilika.
Mradi unatarajiwa kuanza mara tu baada ya kukamilisha mtaji.
Tutakapofunga kuchukua wawekezaji tutatangaza.
Mradi unatarajiwa kulipa si chini ya asilimia 150 kwa siku 365 za kazi.
Mradi utahusika na heavy equipment (excavator).
Kwa maelezo zaidi na kujiunga wasiliana na Mzee Abdul, whatsapp 0625249605
Tunakaribisha maswali.
Ngoja nipige hesabu kidogo,
Data Given;
Mtaji 40,000,000
Hisa 1 = Tshs 500,000
Faida = 150% x 40,000,000 = 60,000,000/=
1) Idadi ya Hisa (Number of Shares)
= Tshs 40,000,000/Tshs 500,000 kwa hisa 1
= Hisa 80
2) Faida kwa kila Hisa (profit per share)
= Tshs 60,000,000/ Hisa 80
= Tshs 750,000/ Hisa 1
3) Uwiano wa Mapato na Mtaji (Return on Capital Invested - ROCE)
= Tshs 60,000,000/40,000,000 x 100%
= 150% (also given)
4) Muda wa kurudisha mtaji (Payback period)
= Mtaji / [Mapato kwa Mwezi]
= Tshs 500,000 / [ Tshs 750,000/12months]
= 500,000 / [Tshs 62,500/ 1month]
= 8 months
Assumptions,
1) Biashara inangiza faida sawa kila mwezi (no peak no lower season)
2) 150% (Tshs 60,000,000) ni faida baada ya mtaji na gharama zingine kutolewa (net profit)
3) 40,000,000 ndio mtaji pekee (Neither excess nor deficit)
4) "Other things kept constant"