Tunaitaka katiba itakayoondoa ukiritimba na udikiteta wa viongozi
Tunaitaka katiba ambayo itakuwa ni ya wananchi na siyo kuwa ya viongozi
Tunataka katiba itakayoondoa udikiteta wa viongozi kupola mali zetu kwa kutumia mamlaka yao
Tunataka katiba itayowapa wananchi mamlaka ya kuwawajibisha viongozi madikiteta
Tunataka katiba itakayozipa nguvu mihimili yetu na siyo mhimili mmoja kuwa juu ya mihimili mingine!
Tunaitaka katiba itakayokuwa na meno dhidi ya mafisadi na kuondoa kinga ya viongozi kutokuwajibishwa pindi wanapotenda uhaini
Tumechezewa na wakoloni, tunachezewa tena na wajomba wa wakoloni?