Sasa turudi kuijenga nchi TRA iwe jeshi usu, hakuna mwananchi wa kukwepa kulipa kodi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.

Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.

Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.

TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
 
Nchi inawafia mikononi mnajiona mmeanza kuleta mikwara, namana mmekosa namna, mmeona njia bora ni kutishia walipa kodi!
 
Jaribuni huo usenge muone kama hii nchi itatawalika kwa amani
 
Jpm alitumia mbinu ya 20k tu kwa wajasiriamali wadogo+bodaboda, mlivyoingia nadhani mliona it's not worth it, ila ili kila mtu awe responsible kulipa kodi, lazima jambo lifanyike.

Hata hivyo, kukiwa na govt overspending, top officials living lavishly, watu watakwepa tu kulipa kodi. Kodi ziendane na maisha ya watu, sio unaminya watu kulipa kodi huku officials wanaishi kama miungu watu. We're a poor nation for fvck's sake!!
 
Wekeni mpaka Kodi za Matiti.
Si mnafikiri Utitiri wa Kodi ndo Maendeleo, na sio efficient in Spending Collected resources
 
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.
TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
Pili machawa waccm wasio na kazi mpewe mashamba kibondo kwasababu za chinichini mmeponza?marinda kwa matepeli waliojifanya wanafanya vetting
 
We
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.
TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
Ken na wale wanao jiuza mitaa yote ya dar,Arusha,Dodoma mbeya na mwanza na muwape efd mashine watoe risit ,bangi iruhusiwe ila walipe Kodi,machawa wote wanao sifia watu ovyo na kulipwa Kwa uchawa walipe Kodi,viongoz wanao samehewa Kodi Kwa vyeo vyao wakatwe Kodi ,
 
Kodi zinatumiwa vibaya na Serikali kugharamia maovu kama utekaji, mauaji ya wananchi, kubambika kesi za uongo, nk. Je, kuna umuhimu wa wananchi kukubali kuendelea kutozwa?
 
We

Ken na wale wanao jiuza mitaa yote ya dar,Arusha,Dodoma mbeya na mwanza na muwape efd mashine watoe risit ,bangi iruhusiwe ila walipe Kodi,machawa wote wanao sifia watu ovyo na kulipwa Kwa uchawa walipe Kodi,viongoz wanao samehewa Kodi Kwa vyeo vyao wakatwe Kodi ,
Na machawa wa ccm bukusaba zao pia zitozwe kodi
 
Machawa pia muanze kulipa kodi si mnahongwa na mabwana zenu wakusanya kodi.
 
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.
TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
Makodi yakiwa makubwa na mengi yanafanya watu watumie muda mwingi kukwepa kodi
Huku duka moja ulipe VAT, ulipe halmashauri, ulipe bwana Afya, ulipe, ulipe ulipe.......biashara moja makodi kibao na ndio sababu watu wanakwepa.
Waweke kodi moja tu; hivyo vyombo vingine vyote vya serikali wagawane hiyo kodi moja kuu

Kuna mambo mengi bado yanakera;
Fikiria kwa wafanyakazi wanao changia hii mifuko ya NSSF/PSSF - mfanye kazi sawa, miaka sawa, mshahara sawa ila mkistaafu kuna madaraja matatu ya mafao; la chini kabisa, la kati na la juu. Maajabu ya Musa ni kuwa wale wanaochangia kidogo (5%) ndio wanalipwa mafao/ kinua mgongo/pension nono zaidi....
Kuna vitu, ukifikiria vizuri labda Yesu aingilie kati
 
Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.

Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
bahati mbaya hata unaowashauri hawawezi kuchukua ushauri wako! Yaani wanakuona kama mbwa ambae akitupiwa makombo anapata nguvu ya kubweka na hawawezi kuchukua ushauri wa mbwa wanaemlisha!
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom