Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wamepata uzoefu wa kulinda vituo vya mafuta na barabarani kama trafic.Tuliongezee jeshi la wananchi majukumu ya kukusanya kodi 🐼
Pili machawa waccm wasio na kazi mpewe mashamba kibondo kwasababu za chinichini mmeponza?marinda kwa matepeli waliojifanya wanafanya vettingYes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.
TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
Ken na wale wanao jiuza mitaa yote ya dar,Arusha,Dodoma mbeya na mwanza na muwape efd mashine watoe risit ,bangi iruhusiwe ila walipe Kodi,machawa wote wanao sifia watu ovyo na kulipwa Kwa uchawa walipe Kodi,viongoz wanao samehewa Kodi Kwa vyeo vyao wakatwe Kodi ,Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.
TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
Na machawa wa ccm bukusaba zao pia zitozwe kodiWe
Ken na wale wanao jiuza mitaa yote ya dar,Arusha,Dodoma mbeya na mwanza na muwape efd mashine watoe risit ,bangi iruhusiwe ila walipe Kodi,machawa wote wanao sifia watu ovyo na kulipwa Kwa uchawa walipe Kodi,viongoz wanao samehewa Kodi Kwa vyeo vyao wakatwe Kodi ,
Makodi yakiwa makubwa na mengi yanafanya watu watumie muda mwingi kukwepa kodiYes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.
Kuna watu wanaitwa wamachinga wako Dar es salaam na majiji mengine wanateneza faida nyingi sana kuliko hata baadhhi ya wafanyabiashara wenye maduka ya kati.
Walipe kodi wote. Mtu anapata faida mpaka laki 2 kwa siku moja na halipi kodi wala hajasajiliwa na TRA.
TRA imulike hawa wamachinga, nyumba za kupanga bado hawajafikiwa na TRA, bodaboda bado hawajafikiwa.
TRA sasa iwe jeshi usu ili kukabiliana na wahuni wakwepa kodi.
Mtu mweusi bila force haendi.
bahati mbaya hata unaowashauri hawawezi kuchukua ushauri wako! Yaani wanakuona kama mbwa ambae akitupiwa makombo anapata nguvu ya kubweka na hawawezi kuchukua ushauri wa mbwa wanaemlisha!Yes. Serikali lazima iende mbele, miradi muhimu yote lazima iendelezwe na miradi mipya lazima ianzishwe. Option ni moja tu kukusanya kodi kwa wingi.