Uchaguzi 2020 Sasa tuwasute wahariri wa magazeti ya Kitanzania

Sihao tu mimi huwanapenda kuangalia taarifa yahabari kupitia u tv jana najuzi hawakuweka taarifa rais mtarajiwa huwenda kunamtu mpaka awaruhusu nimeona hata kwa maalim sef wanamuonyesha yeye tena pasport size anaoongea nao nikamawanachelewa kuwaonyesha nikama ionekane anaongea pekeyake kwakweli kunadalili zakuipasua hii nchi
 
"Endeleeni kutuacha peke yetu mkiamini hili balaa ni letu peke yetu, wakimalizana na sisi watawageukia na nyie" By Tundu Lissu
 
Mnaweweseka sana mlitaka wachapishe hizo habari zenu za kuungaunga ! Kwanza nkwanza nyie si mna magazeti yenu.
 
Boss wewe pekee ndio bado hujaanzisha harakati...siku hizi habari ya mjini kwamba hatununui magazeti..tumegundua habari zipo mitandaoni hata baadhi ta TV hatuangalii kabisa na tutaendelea hivi hivi hata baada ya uchaguzi tuone hiyo mishahara yao watalipanaje...
 
WA
Hamjawahi kuomba msamaha wa wazi kama mlivyowafukuza TBC kwa uwazi,
Ganyeni hivyo ili TV na magazeti yawarudie.
Wamevikosea nini vyombo vya habari,labda wewe tuambie huenda unajua,hapa tunazungumzia wapinzani wote sio CHADEMA
 
Mkuu, waache hizo kazi wakafanye nyingine ili familia ziishi.

Sio kuleta kile wanachojisikia wao hata kama iwe kwa maagizo..
Mkuu hivi unajua kazi zimekuwa za shida sana? Mtu aache kazi usawa huu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…