Sasa unaingia Tarime! Angalizo: nimeikuta sehemu

Sasa unaingia Tarime! Angalizo: nimeikuta sehemu

Alivyoshikwa tu, inaonesha manzi anammudu. Ila yote tisa mbona jamaa kama kalewa hivi, na demu atakua kapita jkt huyo.
 
Nipo hapa kusoma comment za Half american tu
😂😂😂😂😂😂 Hovyo sana kijana
😂
FB_IMG_16854885764003555.jpg
 
Sijawahi kupigana wala kupiga mwanamke tangu ujana mpaka uzee unanianza ila nimekuwa nikiiamini mwanamke kwangu ni kiumbe dhaifu sana kupigana nacho
Kwanza huwa sioni pa kupiga
Ngumi zinakata kona aiisee
 
Back
Top Bottom