Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

Goodluckmkali

Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.

Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:-
(a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva.
(b)laini ya mtandao wa tigo au vodacom uliyosajili kwa kitambulisho chako.
(c)kodi ya mualiko ambayo ni FQNJLB ambayo utaijaza sehemu ya promosheni kisha nawe kupata kodi yako maalum itakayokupa bonasi ya Tsh.10,000/= pindi uliyemualika atakapolipa mkopo wake wa kwanza.

JINSI YA KUOMBA MKOPO
1.Hatua ya kwanza, download Application ya branch kwenye simu yako.


Baada ya kudownload ifungue application yako ya branch na kisha:-
(a)chagua lugha.


(b)chagua ama sajili akaunti mpya.


(c)chagua sajili na nambari ya simu au facebook, kama ukichagua facebook hakikisha jina lako la facebook linaendana na jina la kitambulisho chako.


2.Hatua ya pili, jaza namba yako ya simu eidha ya Tigo au vodacom.


3.Hatua ya tatu, jaza taarifa zako chache zinazohitajika.


4.Hatua ya nne, jaza namba yako ya simu utakayopokelea mkopo wako.


5.Hatua ya tano, chagua kiasi cha mkopo unachotaka kukopa na muda wa marejesho eidha kwa kila wiki au mwezi kisha bonyeza omba mkopo huu


6.Hatua ya sita, thibitisha namba yako ya tigo-pesa
ama m-pesa.


7.Hatua ya saba, baada ya kuomba mkopo bonyeza Dhibiti akaunti yako.


8.Hatua ya nane, kisha hariri sehemu ya promosheni ili kujaza kodi ya mualiko ya rafiki yako au kodi maalumu ya kampuni ili kupata bonasi ya pesa taslimu.


9.Hatua ya tisa, jaza kodi ya mualiko ya ya rafiki yako au jaza kodi maalum ya kampuni ambayo ni FQNJLB kisha bonyeza "Tumia kodi maalum" ili uweze kupata bonasi ya Tsh.10,000/= pindi utakapolipa mkopo wako wa kwanza kwa wakati.



10.Hatua ya kumi, baada ya maombi yako kupitiwa ndani ya dakika chache utapokea mkopo wako kwenye akaunti yako ya Tigo-pesa ama M-Pesa.


Baada ya kupokea mkopo wako ingia kwenye akaunti yako kuthibitisha kupokea mkopo wako kwenye akaunti yako ya Tigo-pesa ama M-pesa.


JINSI YA KUFANYA MAREJESHO
Ili kupata taarifa ya marejesho yako, bonyeza kwenye menu upande wa juu kushoto na uchague "mkopo wangu" kisha utaona tarehe za marejesho yako na kiasi unachotakiwa kurejesha kwenye tarehe husika.


Vodacom
Ingia kwenye menu yako ya m-pesa na uchague "lipa kwa m-pesa" na ujaze namba ya kampuni ambayo ni 256699 na namba ya kumbukumbu ni namba yako ya simu uliyojisajilia branch.




Tigo
Ingia kwenye menu yako ya tigo pesa na uchague "lipa bili" na ujaze namba ya kampuni ambayo ni 256699 na namba ya kumbukumbu ni namba yako ya simu uliyojisajilia branch.

Kisha ingia kwenye akaunti yako kuthibitisha kuwa marejesho yako yamepokelewa.

Ichukulie Branch Kuwa Tawi La Bank Kiganjani Mwako
 

Attachments

  • Screenshot_20181118-223111.png
    5.3 KB · Views: 182
  • PicsArt_11-19-12.19.16.png
    10.3 KB · Views: 229
  • PicsArt_11-19-12.21.40.jpg
    25 KB · Views: 239
  • PicsArt_11-19-12.51.45.jpg
    24.4 KB · Views: 260

Mm Naomba unisaidie mkuu ,niliwahi kujaribu kuchukua lakin nilipo Fungua account niliweka na neno la siri mtandao unazingua nikaacha ,nilikaa kama mwez hiv nikarudia tena kuomba ,nikaambiwa namba yangu imeshatumika ivyo tayar nina account ivyo natakiwa niingie tu,sasa tatizo ni kwamba nimesahau neno la siri alafu Wao wameshanisajir ,Naomba unisaidie
 
Sawa ndugu fanya hivi uninstall hiyo App ya branch kisha idownload tena alafu ukiifungua chagua "Ingia" kisha utajaza namba yako ya simu uliyojisajilia then itafunguka
 

Mm Naomba unisaidie mkuu ,niliwahi kujaribu kuchukua lakin nilipo Fungua account niliweka na neno la siri mtandao unazingua nikaacha ,nilikaa kama mwez hiv nikarudia tena kuomba ,nikaambiwa namba yangu imeshatumika ivyo tayar nina account ivyo natakiwa niingie tu,sasa tatizo ni kwamba nimesahau neno la siri alafu Wao wameshanisajir ,Naomba unisa
 
Nimekujibu kiongozi
 
Mkuu habari! Samahani naomba kuuliza hivi ni lazima uwe na facebook account ndo upate mkopo wa Branch?
 
Nshaitumia sana hii application very useful and enjoyable, but cha msingi ni kulipa deni kwa wakati, hata riba yao ni ndogo compared na tala
 
Nshaitumia sana hii application very useful and enjoyable, but cha msingi ni kulipa deni kwa wakati, hata riba yao ni ndogo compared na tala
tatizo lao kuna makato makubwa ya mtandao unapolipa deni. Wenzao tala unalipa kiasi kilekile ulichotakiwa ulipe na hakuna makato mengine ya mtandao.
 
Mimi bunafsi nasema branch asanteni mno mmeniokoa pengi sana toka nilipo anza na 20000 mpaka sasa 80000 .
Kizuri zaidi mlipoweka option ya kulipa mara moja kwa mwezi hii imekua ni wepesi kwa sisi tunaolipwa mshahara kila mwisho wa mwezi.

Sina lalamiko ila kidogo voda makato yao yapo juu kwa kweli lakini yote ya yote ni heri maana kukopa kwa ndugu ukiwa umekwama ni usumbufu na kero ila kwenu ni huru rahisi na hamna bugtha heko kwenu.
 
Mkuu habari,mimi kila nikidownload najaza mpaka sehemu ya Mkopo wangu kisha inasema inaendelea,wewe ulifanikiwaje Mkuu?
 
Vp kwa sisi tunaotumi iphone? Mana naona wale wa tecno (android) pekee
 
Utoto

Unahisi uko group la WhatsApp unataniana na Rafiki zako mliosoma pamoja

Fungua ubongo na si mdomo!!!

Mkuu hapo kosa langu ni nin? Kuuliza kama kuna app ya apple au ishu ni nini? Mana mpaka sasa sijaona app hiyo kwa apple lakini wewe unanishambulia tu, je app ya apple ipo au haipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…