Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi

Hao jamaa wakikudai hata 20,000 utajuta,,,,tena hawawezi kukukopesha pesa zaidi ya 20,000,,KOPA UJUTE..
 
Nikikopa elfu 20 nakurejesha kwa muda mtanipandishia dau la shilingi ngapi mkopo wa mara ya pili Tala?
 
Branch hawa hawa wasumbufu hawa jamaa marejesho kwa week kila siku text nilikopa mara moja tu text zao za kila siku zimenikimbiza
 
Mimi bunafsi nasema branch asanteni mno mmeniokoa pengi sana toka nilipo anza na 20000 mpaka sasa 80000 .
Kizuri zaidi mlipoweka option ya kulipa mara moja kwa mwezi hii imekua ni wepesi kwa sisi tunaolipwa mshahara kila mwisho wa mwezi.

Sina lalamiko ila kidogo voda makato yao yapo juu kwa kweli lakini yote ya yote ni heri maana kukopa kwa ndugu ukiwa umekwama ni usumbufu na kero ila kwenu ni huru rahisi na hamna bugtha heko kwenu.
Hii kwa mwezi wameanza lini
 
Ukikopa ishirini mwezi unaofuata wanakupa ngapi baada ya mrejesho ya mwanzo
Wanakupa elf 20 hiyohiyo mm sijakopa tena sababu ya usumbufu wao kila siku kukukumbusha marejesho
 
Back
Top Bottom