Mimi bunafsi nasema branch asanteni mno mmeniokoa pengi sana toka nilipo anza na 20000 mpaka sasa 80000 .
Kizuri zaidi mlipoweka option ya kulipa mara moja kwa mwezi hii imekua ni wepesi kwa sisi tunaolipwa mshahara kila mwisho wa mwezi.
Sina lalamiko ila kidogo voda makato yao yapo juu kwa kweli lakini yote ya yote ni heri maana kukopa kwa ndugu ukiwa umekwama ni usumbufu na kero ila kwenu ni huru rahisi na hamna bugtha heko kwenu.