- Thread starter
- #21
Sawa ,hiyo ntaiwekea post yake tofauti,ujumbe wangu hapa nia yangu ilikua ni kumfahamisha mwenye biashara anaweza kufuatilia mauzo akiwa nyumbaniVizuri nafikiri hii ndio ingewafaa wengi ungeielezea kwenye post
Kwasababu hii ya internet ni kama extra ila cha msingi ikiwa hata dukani kwenye computer ni bora kwasababu dukani(ofisini) lazima uende hasa kwa issue za physical counting