M Mijicho JF-Expert Member Joined Jan 20, 2009 Posts 282 Reaction score 219 Nov 16, 2023 Thread starter #21 mangiTz said: Vizuri nafikiri hii ndio ingewafaa wengi ungeielezea kwenye post Kwasababu hii ya internet ni kama extra ila cha msingi ikiwa hata dukani kwenye computer ni bora kwasababu dukani(ofisini) lazima uende hasa kwa issue za physical counting Click to expand... Sawa ,hiyo ntaiwekea post yake tofauti,ujumbe wangu hapa nia yangu ilikua ni kumfahamisha mwenye biashara anaweza kufuatilia mauzo akiwa nyumbani
mangiTz said: Vizuri nafikiri hii ndio ingewafaa wengi ungeielezea kwenye post Kwasababu hii ya internet ni kama extra ila cha msingi ikiwa hata dukani kwenye computer ni bora kwasababu dukani(ofisini) lazima uende hasa kwa issue za physical counting Click to expand... Sawa ,hiyo ntaiwekea post yake tofauti,ujumbe wangu hapa nia yangu ilikua ni kumfahamisha mwenye biashara anaweza kufuatilia mauzo akiwa nyumbani