The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa ukatili na unyama ulioandamana na mauaji ya halaiki, tumethibitisha hoja za Polepole kuwa tunatawaliwa na wahuni.
Bila uhuni, haya mambo yasingetokea. Ikibidi, tuanze upya kuwapatiliza hawa wahuni wasije kutuharibia nchi.
Washindwe wahuni wote chini ya mhuni mkuu na mwenzake anayemtumia kwa remote control.