Sasa wahuni wamethibitisha uhuni aliokuwa akiongelea Humphrey Polepole

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kwa ukatili na unyama ulioandamana na mauaji ya halaiki, tumethibitisha hoja za Polepole kuwa tunatawaliwa na wahuni.

Bila uhuni, haya mambo yasingetokea. Ikibidi, tuanze upya kuwapatiliza hawa wahuni wasije kutuharibia nchi.

Washindwe wahuni wote chini ya mhuni mkuu na mwenzake anayemtumia kwa remote control.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…