hii video yako haina maelezo wala haioneshi mwisho, pengine keshapewa karudi tena , pengine hakufuata utaratibu, unataka kutumainisha waarabu hawatupendi kwa propaganda za kijinga, huko kijijini kwenu anechimba kisima si muarabu au hujuiHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Hao makafiri kazi yao kueneza chuki tu, video haina maelezo wala haina mwisho ,Shida ni hii hapa.
Hatujui context ya hiko kinachogawiwa.
Hatujui alitamka nini wakati anawaputa mikono.
Tunaona mtu mweusi kanyimwa kitu na mwarabu.
Tukiruka tu na kuhitimisha mweupe kamnyima mweusi bila kujua context sisi pia tutakua racists kama wao.
Hii haina uhusiano na dini yeyote. Ni ubaguzi tu dhidi ya mtu mweusiHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Very good!!!π€£π€£π€£kumbuka hiyo ni futari kulingana na mafundisho yao hata mtu mweusi kwao ni qhafirii hivyo huyo mama amepata dhawabu kumyima qhafiri mweusi maji π¨π¨
Mwoneni huyu, ndio wale tunaowasema, akiona Mwarabu akili yote inamruka.hii video yako haina maelezo wala haioneshi mwisho, pengine keshapewa karudi tena , pengine hakufuata utaratibu, unataka kutumainisha waarabu hawatupendi kwa propaganda za kijinga, huko kijijini kwenu anechimba kisima si muarabu au hujui
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Tusitie tie huruma tutafute pesaHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Kafir wa Kwanza ni huyo aliyenyimwa futari.Hao makafiri kazi yao kueneza chuki tu, video haina maelezo wala haina mwisho ,
Toka nimekua na kupata akili niliwakataaga waarabu mpka leo, wanaroho ngumu sana hawa watuHebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Mafundisho yao muslims wao wanafundishwa na kuraan..hata kuuwa na kujitoa muhanga ni kuraan tulkufu inafundisha we utabisha tu mana hujui dini vizuri umeletewa juzi tena kwa kitabu usicho kielewa hata lugha ko tulia.Very good!!!
Umesema mafundisho yao si mafundisho ya Uislam wala Quran.
Mimi nikiwa na hamu na Michele huwa nakwenda Kwa Wasomali nagonga biryani yangu au Mandi fresh kabisa.Tusitie tie huruma tutafute pesa
Yaani ukiona dini unayoifata haimini katika Yesu Kristo basi unapoteza muda wako bureHizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Kuongelea kitu usichokijua ni kosa kubwa kwangu na kwa muislam yeyote anayeijua dini hayo ndo mafundisho nakupa, na kwangu njoo na kitu unachokijua ktk dini niko vzr sihitaji porojo na nadharia za uongoMafundisho yao muslims wao wanafundishwa na kuraan..hata kuuwa na kujitoa muhanga ni kuraan tulkufu inafundisha we utabisha tu mana hujui dini vizuri umeletewa juzi tena kwa kitabu usicho kielewa hata lugha ko tulia.
Halafu imagine hilo tukio limetokea msikitini mwezi huu wa Ramadhan wakati wa kufuturu.