Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Masikini nae bila kujali rangi yake ni takataka tu kwa wenye uwezo, asiye na elimu nae ni takataka kwa wenye elimu.Mtu mweusi ni takataka tu mbele za watu wote duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini nae bila kujali rangi yake ni takataka tu kwa wenye uwezo, asiye na elimu nae ni takataka kwa wenye elimu.Mtu mweusi ni takataka tu mbele za watu wote duniani.
Hata sisi wabongo tuna roho mbaya pia.na sisi ni waarabu?Arabs wana roho zaidi ya mbaya
Hakuna jamii isiyo na watu wenye roho mbaya, hebu vuta picha muarabu nae yupo zake huko Arabuni anasikia hizi taarifa za Tanzania mara mume kamchinja mkewe na akamzika humo humo chumbani, atasema watanzania wana roho kama za wanyama wanauwana tu kumbe ni baadhi ya tabia za watu.Arabs wana roho zaidi ya mbaya
Dini ya magaidiHizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Uislam na ubaya ni watoto wa mama mmoja roho mbaya na ubinafsi angalia kama hao wajinga wanaelazimisha watu wafunge zanzibar hii ni aibu kwani mwingine asipo funga wewe unapungukiwa nini aibu iwe juu yenu..Mzee moja ya taratibu kuu za dini ya uislam ni Elimu, ni lazima kusoma sio hiari, asiyesoma amekwenda kinyume na utaratibu na misingi ya uislam, sisi waislam ndo tunakuambia kwenye uislam hakuna kitu hiki we na makafiri wengine mnalazimisha, hii ni ajabu kabisa hahaha
Yaani kafiri anajifanya anaujua uislam kuliko muislam mwenyewe,
Na ndio maana hata akili zenu zipo katika kueneza mabaya yanayofanywa na wasiojua dini kuliko mazuri ya wanaoijua dini ya Islam
Ndo sababu ,Nawaombea Israel waendelee kuwatembezea kichapo Hawa wadudu .Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
Eneo lina tamaduni za kiislam na wenyeji wameamua iwe hivyo we kinakuwasha nini kwenda kuwavuruga,Uislam na ubaya ni watoto wa mama mmoja roho mbaya na ubinafsi angalia kama hao wajinga wanaelazimisha watu wafunge zanzibar hii ni aibu kwani mwingine asipo funga wewe unapungukiwa nini aibu iwe juu yenu..
Ili kupractice Islam ni sharti uwe na ujuzi wa kutosha wa Uislam, ujue kila unachokifanya ili ukifanye kwa usahihi, bila hivyo pamoja na kuwa muislam bado utakua hatiani kwa kukiuka taratibu, Islam si dini ya wajinga unalazimika kusoma vizurUISLAM na Elimu wapi na wapi??.
Au Kumeza juzi ndio Elimu yenyewe?.
Infact kukalili tabu Zima Niko kunawafanya muwe Magaidi.
Kwa hiyo ni sahihi kwa kuwa Papa alimbagua mtu mweusi?Kwani wewe hujaona Video ya Papa akimbagua Askofu mweusi wakati Maaskofu wazungu walipewa hug/mabusu shavuni alivofika kwa Mweusi nini kilitokea? Tena uyu Papa wa Mambo yaleeeeeee
Dini sio utamaduni dini ni mawasiliano kati ya mtu na anacho kiamini ndugu labda kama utakubaliana na mimi kwamba uislamu sio dini bali chama kinacho pambana kujitwalia madaraka ramsi ya kiserikali..Eneo lina tamaduni za kiislam na wenyeji wameamua iwe hivyo we kinakuwasha nini kwenda kuwavuruga,
[emoji16][emoji16]Yaani huwa nawashangaa sana wanaojinasibu na uarabu na kuwasifia...ndio maana kule Saudi Arabia wananyewa midomoni
Yaani Mtu na pua yake pana kama ngumi, nywele ngumu za katani na lips pana anajidai Mwarabu na kuona Waarabu wamestaarabika sana
Yaani hawa Watu weusi wana laana
Hapana aise hao Waarabu wamezidiRoho mbaya haina dini,walakabila,wala utaifa. Ni tabia ya mtu BINAFSI
huwa wanasema mwarabu wana langi ya mtume waoMwafria mweusi kwa Mwarabu ni sawa sawa na chatu na Mbwa. Mbwa akimwona chatu atajupeleka kumwzea huku akicheka. Kadhalika mwafrika mweusi anabaguliwa na kuteswa na mwarabu ila akimuona anaona kama kamuona mjukuu wa Mungu. Hata afanye baya gani kwa sababu ni mwarabu litatakaswa.
Roma sio wakristo hawajawahi kuwa wa kristo na hawatakuja kuwa wa kristo,Hata Rome Italy wamejaa wakristo na ndo umejaa ubaguzi kwenye mipira tu huwa tunaona kina ballotel wanavyopigiwa kelele za nyani na kutupiwa ndizi
Sasa wakristo wako wapi? Maana hata Israel hakuna wakristo waislam ni wengi kuliko cristian wakristo wamekimbilia wapi?Roma sio wakristo hawajawahi kuwa wa kristo na hawatakuja kuwa wa kristo,
wale ni wapagani kama wapagani wengine