Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kile kituko cha akina 'covid19'Tukio la karne na kihistoria la spika wa bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima mdee na wenzake 18 (maarufu kama Covid 19!) nje ya ukumbi wa bunge bila kuwepo kwa wabunge wengine, wala kikao rasmi cha bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na kikatiba.
Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka spika Ndugai kuwaapisha chap chap wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya kibunge.
Safari hii, sijui wataapishiwa wapi?
Sote tunasubiri kuona na kujifunza mapya kutoka kwa Ndugai.
Mkuu,Hahahaaa... Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.
Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi.
Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
Mbona Spika mara baada ya kuwaapisha akina Mdee (Rejea clip ipo you tube) alielezea vizuri tu...kikatiba na kikanuni za Bunge utaratibu wa kuapa jinsi ulivyo. Kwamba kanuni mpya ya bunge baada ya kurekebishwa bunge lenyewe inamruhusu Spika kumwapisha m_mbunge Mahali popote atakapopachagua Spika mwenyewe Ili mbunge huyo aanze Kazi mapema pasipo kungojea kuapishwa mbele ya wabunge wengine wakati wa kikao cha bunge.Hawa watakwenda kuapia sebuleni kwake Spika...
Kuna MATAGA humu wanasema mbunge huapa mbele ya "Bunge" na siyo mbele ya "Wabunge"...
Yaani hawa jamaa John Pombe Magufuli amezi - dilute akili zao mpaka hazina radha tena....
Kwa hiyo kwao " Bunge" ni Job Ndugai...!!
Tupo tumsubiri subwoofer wetu!Tukio la karne na kihistoria la spika wa bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima mdee na wenzake 18 (maarufu kama Covid 19!) nje ya ukumbi wa bunge bila kuwepo kwa wabunge wengine, wala kikao rasmi cha bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na kikatiba.
Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka spika Ndugai kuwaapisha chap chap wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya kibunge.
Safari hii, sijui wataapishiwa wapi?
Sote tunasubiri kuona na kujifunza mapya kutoka kwa Ndugai.
Mimbwa wa Nyerere sio, mwenyewe kafa Mimbwa inakwenda hovyo hovyo. Nimecheka sanaHahahaaa! Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.
Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi. Halafu jioni wakaacha kuhesabu kura kwenye hayo makaratasi. Badala yake wakasoma matokeo yaliyotoka kwa Mahera!
Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini KwanMbona Spika mara baada ya kuwaapisha akina Mdee (Rejea clip ipo you tube) alielezea vizuri tu...kikatiba na kikanuni za Bunge utaratibu wa kuapa jinsi ulivyo. Kwamba kanuni mpya ya bunge baada ya kurekebishwa bunge lenyewe inamruhusu Spika kumwapisha m_mbunge Mahali popote atakapopachagua Spika mwenyewe Ili mbunge huyo aanze Kazi mapema pasipo kungojea kuapishwa mbele ya wabunge wengine wakati wa kikao cha bunge.
Kimsingi...M bunge anaapa mbele ya Spika na si ndani ya ukumbi wa bunge au wakati wa kikao cha bunge au mbele ya wabunge.
Sielewi umedhamiria kuandika huu upumbavu au,njooo na hoja za msingi ueleweke xax mbwa kaingiaje kwenye current issue kama ilivyoelezwa hapo juu,punguza mhemukoHahahaaa! Hautaliona hilo. Nyerere alisema kuwa hawezi kutoa nchi kwa mbwa - 1995. Bila Nyerere kujua, nchi tayari imeingia kwenye mikono ya mbwa.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuteka wagombea pinzani ili wao wapite bila kupingwa. Ni mbwa pekee wanaoweza sema ruhusa TLP na UDP kusapoti CCM lakini haramu CHADEMA kusapoti ACT kwenye uchaguzi.
Ni mbwa pekee wanaoweza kufoji utaratibu wa kuteua wabunge wa viti maalum wakihusisha Bunge, mahakama na serikali halafu ikawa kama vile hakuna baya lililotendeka.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuwawekea vikwazo wagombea wa vyama ambavyo vipo kikatiba ili wasifanye uchaguzi ambao upo kikatiba kwa kuwanyima usafiri ama kuzua usafiri wao wenyewe ili wasifanye kampeni.
Ni mbwa pekee wanaoweza kuchapisha makaratasi ya kura, weka tiki kwa CCM wakiwa majumbani na mahotelini, halafu kuyaingiza kwenye vituo chini ya ulinzi wa jeshi la polisi. Halafu jioni wakaacha kuhesabu kura kwenye hayo makaratasi. Badala yake wakasoma matokeo yaliyotoka kwa Mahera!
Ni mbwa pekee wanaweza kuvunja katiba yetu watakavyo na kusiwe na consequences.
Isikupe tabu sana kuna wakat sio lazma uelewe kila kitu kuna vingn unajaza kweny ubongo tu azikusaidiii chchte,ndugai anaendesha binge kwa katiba Sasa cjui we ulitaka afanyaje I'll uridhikeTukio la karne na kihistoria la spika wa bunge la Tanzania (Job Ndugai) kuwaapisha chap chap wakina Halima mdee na wenzake 18 (maarufu kama Covid 19!) nje ya ukumbi wa bunge bila kuwepo kwa wabunge wengine, wala kikao rasmi cha bunge au kusimikwa kwa Siwa kumezusha mjadala wa kisiasa na kikatiba.
Mtihani huo sasa umehamia upande wa pili wa kumtaka spika Ndugai kuwaapisha chap chap wabunge wapya wawili wa kuteuliwa na Rais ili wakaanze kutumikia mara moja majukumu ya kibunge.
Safari hii, sijui wataapishiwa wapi?
Sote tunasubiri kuona na kujifunza mapya kutoka kwa Ndugai.
Kwahiyo Ndugai ndio bunge?au pale ni mbele ya bunge? kwanini mnajitoa ufahamu?ni njaa au...Hawa watakwenda kuapia sebuleni kwake Spika...
Kuna MATAGA humu wanasema mbunge huapa mbele ya "Bunge" na siyo mbele ya "Wabunge"...
Yaani hawa jamaa John Pombe Magufuli amezi - dilute akili zao mpaka hazina radha tena....
Kwa hiyo kwao " Bunge" ni Job Ndugai...!!
Ukiwa CCM ukubali kuwa mjinga. Waliiba kura kipumbavu sana sasa wanapigwa spana na Jumuiya za kimataifa na ombwe ya kukosa fedha za kibajeti ndiyo mabichwa yanapata akili tena!CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni!CCM walizunguka nchi nzima kuutangazia uma kwamba wapinzani wanakwamisha maendeleo na ndiomaana wakakwapua majimbo yote hili bungeni wawe pekeyao chakushangaza leo hii tena wanawalazimisha wapinzani kwenda bungeni kwa nguvu amakweli hii dunia ina maajabu yake. Kuna nini Kwan