Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Ha haaa ha Dr Hana hamu na siasa Tena .Yaan Gekul anaweza kumtuma Bashiru kusindikiza bahasha ikulu ..hii dunia bhanaHivi Bashiru na faster faster hawajauliza swali la nyongeza!!???Dunia hii!!?
Full of Lies..Siasa raha sana
Bado wana omboleza!Hivi Bashiru na faster faster hawajauliza swali la nyongeza!!???Dunia hii!!?
Siyo mara zoteFull of Lies..
Mfumo wa Human Capital Management Information System" uliwahi kufanikiwa nchi gani? Tanzania mifumo umekuwa minginhadi mwingine fedha zimeanza kuliwa na wachacheHayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi.
Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama, atahamishwa mara moja pamoja na mshahara wake na hataruhusiwa kuhama tena mpaka baada ya miaka mitatu.
Amesema pia ajira mpya zitazingatia waliojitolea kwa muda mrefu na waliomaliza vyuo muda mrefu na hawajaajiriwa mfano, kuanzia 2012, 2013, 2014 na kuendelea
View attachment 1759835
Today's Top 10 Human Resource Management ChallengesHayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi.
Lengo ni kuepuka urasimu na rushwa. Akishathibitishwa kuhama, atahamishwa mara moja pamoja na mshahara wake na hataruhusiwa kuhama tena mpaka baada ya miaka mitatu.
Amesema pia ajira mpya zitazingatia waliojitolea kwa muda mrefu na waliomaliza vyuo muda mrefu na hawajaajiriwa mfano, kuanzia 2012, 2013, 2014 na kuendelea
View attachment 1759835
Kazi kweli kweli hao wengine wataajiiwa watakapokuwa na umri wa miaka 50 na kuendeleaHayo yamesemwa Bungeni leo na David Silinde, Naibu Waziri OR -TAMISEMI. Mfumo huu unaitwa "Human Capital Management Information System" ambapo mtumishi atakuwa na uwezo wa kujihamisha mwenyewe 'online' bila kupitia kwa wakurugenzi.