Sasa wazanzibar inabidi wawashukuru watanganyika.

Sasa wazanzibar inabidi wawashukuru watanganyika.

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,800
Reaction score
2,339
Mapinduzi ya zanzibar ilikuwa tarehe 12 january 1964 na baada hapo wakataka kumwngusha karume walikuwa wadundane pemba na unguja karume akaomba jeshi 300 kwa nyerere ili kumlinda karume na serikali yake mambo yakawa magumu nyerere akamwambia basi tuungane lakini wewe utabaki kuwa rais akakubali lakini wapemba walitaka kumpindua.


Tarehe 26 aprili 1964 wakaungana tanganyika na zanzibar. kwa hiyo kwanini wasiwashukuru watanganyika kwa kuwa
imewafanya wajisikie kuwa wamoja kama wanasema jamhuri ya watu wa zanzibar. nilikuwa nauliza jamhuri hiyo mnayoidai mmeiona ilikuwa na hali gani? basi hiyo ndio jinsi jamhuri ya watu wa zanzibar ambayo wanadai sisi tunawaonea inabidi mtushuru watanganyika kwa kuwa tumewafanya muwe ndugu unguja na pemba.

Hiyo ndiyo historia fupi ya muungano nani alimsadia mwenzake wanajamvi?
 
Back
Top Bottom