Sasa wewe unalalamika kuoa binti mwenye tatoo akati...

Elie zer

Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
73
Reaction score
68
Ila wabongo bhana! Ety humu ndani kuna mtu anawaza kwenda kumtambulisha binti mwenye tatoo nyumban kwao, ety watamchukuliaje!! Wakati kaka yangu alioza kwa mdada mwenye upaa na midevu, mapengo na machacha!! Na tukampokea!! Vitu vingine sio vya kujaji bhana!!
Au nimeongopa wadau!!!
 
Hahahaha utanivunja mbavu kwa kichekoo
 
Ila wabongo bhana! Ety humu ndani kuna mtu anawaza kwenda kumtambulisha binti mwenye tatoo nyumban kwao, ety watamchukuliaje!! Wakati kaka yangu alioza kwa mdada mwenye upaa na midevu, mapengo na machacha!! Na tukampokea!! Vitu vingine sio vya kujaji bhana!!
Au nimeongopa wadau!!!
Hahhh wengne wan makovu ya bangi sehemu flan
 
Back
Top Bottom