Ila wabongo bhana! Ety humu ndani kuna mtu anawaza kwenda kumtambulisha binti mwenye tatoo nyumban kwao, ety watamchukuliaje!! Wakati kaka yangu alioza kwa mdada mwenye upaa na midevu, mapengo na machacha!! Na tukampokea!! Vitu vingine sio vya kujaji bhana!!
Au nimeongopa wadau!!!
Au nimeongopa wadau!!!