Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?
NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Onyo!!mimi ni padre hivyo tuheshimiane!![emoji85]
Vipi mkuu mshana mbona wacheka!![emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hicho cheo chakoVipi mkuu mshana mbona wacheka!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji85] [emoji85] [emoji85]Hicho cheo chako
Unasemaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]wa stend vp uko tayar
nshakudondokeaUnasemaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sema suuu!![emoji87] [emoji87] [emoji87] ebu tuma pich yako eti!!isije kuwa wewe ni bibi bomba!!nshakudondokea