Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,689
Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?

NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Sasa hutaki tupendwe na wake za watu? Waache tu watupende sababu ni uamuzi wao
 
Back
Top Bottom