Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Sasa zamu ya akina dada ikitokea fursa kuchagua mume hapa Jf utamchagua nani?

Kuna watu mnajinyima morning glory kwa uzembe wenu!
Mmmh kivipi? ni vyema kujali hisia za wengine pengine na mie nikimtaja nitamkwaza huyo alomtaja kwahiyo, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio ha ha ha ha ha ha lol
 
Mmmh kivipi? ni vyema kujali hisia za wengine pengine na mie nikimtaja nitamkwaza huyo alomtaja kwahiyo, usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio ha ha ha ha ha ha lol
Hata kama unaempenda ametajwa inawezekana aliemtaja hapendwi,kwa hiyo ni vyema ukajaribu bahati yako usije ukakosa morning glory from your dream man kizembe zembe kisa eti unajali hisia za wengine!!........Changamkia fursa dear,morning glory ni tamu sana jamani!!
 
Somo linaeleweka, tuseme imetokea neema hapa Jf ikatakiwa sasa mchezo umegeuka ni zamu yenu wakina dada kuchagua mwanaume/mume hapa jamiii forum ebu toa pendekezo lako kwa mfano ungefanyaje katika uchaguzi na karata yako ingemdondokea nani?

NOTE: NI MFANO MSIJE FANYA KWELI MAKE WENGINE WAKE/WAUME ZA WATU..![emoji41] [emoji41] [emoji41]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] ntamchagua baba mipasho ili aendelee kunipashua pashu nipashuke [emoji108]
 
Dah page ya 15 simo?? wacha nikaoge maji ya maharage
 
Back
Top Bottom