Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Innovation yeyote ambayo hakubaliwa na wateja ni ngumu sana kutawala soko, mfano mzuri ni Microsoft walipotoa gaming box ambayo ilikuwa unaweza kucheza na majirani zako kwa kutumia internet connections ilikosa mnunuzi kwani by that time hakukuwa na watumiaji wengin wa internet kama sasa.
Kwahiyo hata hiyo CDMA inawezekana ikajivuta kidogokidogo kwani haiwezi kuchukua kasi wakati sio industrial standard until and then lazima GSM itaendelea kutawala.
Lakini ni vizuri tukawa na new player in the industry kwani itatupa nafasi ya kufanya choice ya product tunayoitaji.