Sasha achumbiwa na Mzungu

Sasha achumbiwa na Mzungu

aisee dah mbona mzungu katoa dau dogo..Nipo tayari kutoa mahari ya 900Millions. Mwenye no. yake ani-PM
 
Video queen Sasha, anadai kuchumbiwa na mzungu ambaye ametajiwa mahari ya mil 40 na wazazi wake na amekubali kuitoa hivyo anatarajiwa kufunga ndoa mwakani mwezi wa tatu.

"Nashukuru nimepata mzungu naamini atanipenda kweli tofauti na wanaume wa kibongo si haba ana Pesa ndefu Kwani mahari aliyotajiwa bila ya kuwa na Pesa asingeweza " alisema Sasha.


View attachment 629212
Kwani snura kwenye chura hakumlipa vzr nn
 
Back
Top Bottom